Ruti ndefu zaidi ndani mkoa mmoja hapa Tanzania

Ruti ndefu zaidi ndani mkoa mmoja hapa Tanzania

Songea-Tunduru nayo pia ilikuwa ruti ndefu sana miaka ya mwanzoni mwa 2000s kipindi hicho haikuwa na lami.

Ruti ya Moro-Malinyi na Moro-Mlimba itakuwa nyepesi pale tu itakapokamilika yote kwa kiwango cha lami.
Mara ya mwisho kupita kule ni 2021 kabla mjomba Magu hajadanji na ilikuwa kwenye ujenzi wa kiwango cha lami.
 
Songea to Tunduru ni ~265Km
Moro town to Malinyi ni ~288km
Moro town to Mlimba ni ~ 299km

Labda wakiweka lami japo bado route za Moro zinaongoza kwa umbali
 
Nimepita hii ya Morogoro mjini kwenda Malinyi ni mwendo wa kutwa nzima kwa gari.

Nadhani hii ni moja ya ruti ndefu inayopatikana Tanzania ndani ya mkoa mmoja.

Ruti gani ndefu zaidi ndani ya mkoa mmoja?

Tupe uzoefu wako

Kwa hili, Morogoro haina mpinzani; Niliwahi kusafiri kutwa nzima ndani ya mkoa mmoja.
Halafu utasikia watu wa vijijini wanakuuliza; mbona huendi kutembelea ndugu yako hapo mlimba na wote mpo Morogoro?
 
Hii ya morogoro to malinyi ni kiboko
Kwanza serikali walitakiwa waimege Morogoro hili malinyi uwe mkoa mwingne
Sidhani kama serikali itakuja kuumega huu mkoa wa Moro, hizo ruti mbili yaani moro~malinyi na moro~mlimba japo ni ndefu ila utaenjoy uoto wa asili, kambi za jeshi na mapori(mwitu) yasiyofyekwa enzi na enzi huku ukishuhudia mamba na viboko kwa wingi wamelala wakiota jua juu ya majabari ya mawe kwenye mtiririko wa maji usiokoma throughout the year.

Ikitokea mkoa wa Morogoro ukagawanywa, basi utaibuka mkoa mwingine wa Ifakara ambayo ndo mji mkubwa na wenye maendeleo makubwa pengine unafukuzana kwa ukaribu sana na moro town!
 
Back
Top Bottom