hayo ndo mambo yanayotakiwa hata bongo bwana...
tumeshindwa kuwalipa madaktari sembuse kiwanja
naona miaka sita kama ni mingi sana mkuu...tungekua na uongozi imara tungekua na huo wanja hapa nyumbani.tanzanite ya miaka 6 inaweza kuujenga.
tungekua na uongozi imara tungekua na huo wanja hapa nyumbani.tanzanite ya miaka 6 inaweza kuujenga.
Mpaka pale tutakapoweza kuchimba wenyewe dhahabu yetu, almasi, tanzanite, uranium na madini mengine labda tutaweza lakini hii ya sasa ya migodi yenye small airports kila siku "wenye mikataba" wanasomba tani kadhaa kupeleka kwao tutasubiri sana...