Russian malware detected in US electricity utility - report

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
A malware code associated with Russian hackers has reportedly been detected within the system of a Vermont electric utility.

The Russians did not actively use the code to disrupt operations of the utility, US officials told the Washington Post, but penetration of the nation’s electrical grid is significant because it represents a potentially serious vulnerability.

061dd88fd008a874bf3023d1cee48468.jpg

The code is associated with the hacking operation dubbed Grizzly Steppe by the Obama administration.

The utility involved, Burlington Electric, said the code was detected on a laptop associated with the company but not connected to the grid.

“We took immediate action to isolate the laptop and alerted federal officials of this finding,” the Burlington Electric Department said in a statement.

“Our team is working with federal officials to trace this malware and prevent any other attempts to infiltrate utility systems. We have briefed state officials and will support the investigation fully.”

The Department of Homeland Security alerted utilities on Thursday night about the malware code used in Grizzly Steppe, the company said.

“We acted quickly to scan all computers in our system for the malware signature. We detected the malware in a single Burlington Electric Department laptop not connected to our organization’s grid systems,” it said.

On Thursday, president Barack Obama expelled 35 Russian diplomats and imposed sanctions on two Russian intelligence agencies over their involvement in hacking US political groups in the 2016 presidential election.

Vladimir Putin said he would not retaliate by expelling US diplomats from Russia, a move praised by Donald Trump.

Government and utility industry officials regularly monitor the nation’s electrical grid because it is highly computerised and any disruptions can have disastrous implications for the functioning of medical and emergency services, the Post said.

US officials, including one senior administration official, said they are not yet sure what the intentions of the Russians might have been, the Post reported.

Federal officials have shared the malware code used in Grizzly Steppe with utility executives nationwide, a senior administration official said, and Vermont utility officials identified it within their operations, the Post reported.

US intelligence services believe Russia ordered cyber-attacks on the Democratic National Committee (DNC), Hillary Clinton’s campaign and other political organisations, in an attempt to influence the election in favour of the Republican candidate, Donald Trump.
 
Rubbish, nani anaweza kuwa mjinga kwa kuandika code za malware zinazo onyesha signature za country of origin!!! Obama, Hillary na kundi lao wanaleta madai ya kujidhalilisha tu, kazi yao ni kusingizia Putin kwa kila jambo baya - Dunia imekwisha choshwa na maigizo yao.
 
Hii ndio dunia na elimu tunayotakiwa kusafiri nayo.
Sio kikombe cha babu au kuleta matapeli wa viini macho kutoka Naijeria na kututabiria au kutupigia ramli za ushindi.
Ni Utamaduni wa Amerika kwanza kuleta matisho kwa jamii, "create fear" kuonyesha kuna hatari. Watu wakishaogopa, ndio anakuja na hoja sasa ya kupambana na hatari hizo "safety and security". Angalieni sinema zote za Hollywood.
Tumeona jinsi walivyowazingizia Waislam, baada ya watu wao kuanza kuwaogopa Waislam. Ndio walianza kuzivamia nchi za Kiislam, kubadilisha Utawala na kuzomba rasilimali za nchi hizo.
Waislam tumeishi nao, je kweli Waislam wenzetu ni watu wa kuogopa?
Hata Waziri wa ardhi Bwana Lukuvi, pia anajifanya Mzungu, eti kuogopa Waislam. Duu! Huyu huyu Lukuvi kama angekwenda Ufaransa ya Kusini au atembee na kaunda suti yake mitaa ya Wazungu huko Texas, ataitiwa polisi maana huko wanaamini watu Weusi ndio wahalifu.

Ndio maana kazi yeyote ile inayohusiana na "ulinzi na Usalama" huwa ina pesa na ni biashara nzuri sana, iwe kwenye IT au silaha au Corporate World.
Ni akina nanii tuu wale hawaambuli kitu maana huwa wanatumwa tuu kufanya kazi za wakubwa Malipo ni sifa tuu. Eeeeh!

Mchonga majeneza au mchimba makaburi. Wanaishi kwa vilio vya wengine.

Baada ya Demokratiki kukosa, tumeona Utawala wa Obama umefanya mambo makubwa sana na ya maana ikiwa na pamoja kuipinga Israel kwenye zoezi lake la kujenga kwa nguvu kwenye makazi ya Wapalestina.
Dunia ilikuwa inasubiri haya kwa muda mrefu sana. Hata Al Gore alivyopoteza, Clinton alianza harakati rasmi na kutengeneza Uhusiano wa watu waliopinga Udhalimu wa Israeli kama vile Bwana Nelson Mandela.

JF hii forum ni ya siasa au Teknolojia au Great Thinkers au Inteligensia? Au tuseme this is a love story, its about 2 great lovers "Romeo and Juliet"
 
Na tunavyopenda Maumeme ya bure wanatu spy adi wake zetu.
Flat screen,friji

Nilisikia hackers walizi hack za kampuni ya Samsung hvyo usiri wa mtumiaji upo mashakani

Siku hz privacy hakuna unachozungumza kinakuwa recorded na flat screen tu
 
Flat screen,friji

Nilisikia hackers walizi hack za kampuni ya Samsung hvyo usiri wa mtumiaji upo mashakani

Siku hz privacy hakuna unachozungumza kinakuwa recorded na flat screen tu
Siku hizi kila kitu kina listening device, yaani sijui wanatafuta nini, ndio maana Uislamu ukakataza watu kufanyiana ujasusi, wenyewe waislamu wanaelewa ni sehemu gani inasema hivyo.
 
Siku hizi kila kitu kina listening device, yaani sijui wanatafuta nini, ndio maana Uislamu ukakataza watu kufanyiana ujasusi, wenyewe waislamu wanaelewa ni sehemu gani inasema hivyo.
Kila kifaa kina backdoor -kwenye ulimwengu wa technology haupo safe

Walatajasasu
 
Hii ndio dunia na elimu tunayotakiwa kusafiri nayo.
Sio kikombe cha babu au kuleta matapeli wa viini macho kutoka Naijeria na kututabiria au kutupigia ramli za ushindi.
Ni Utamaduni wa Amerika kwanza kuleta matisho kwa jamii, "create fear" kuonyesha kuna hatari. Watu wakishaogopa, ndio anakuja na hoja sasa ya kupambana na hatari hizo "safety and security". Angalieni sinema zote za Hollywood.
Tumeona jinsi walivyowazingizia Waislam, baada ya watu wao kuanza kuwaogopa Waislam. Ndio walianza kuzivamia nchi za Kiislam, kubadilisha Utawala na kuzomba rasilimali za nchi hizo.
Waislam tumeishi nao, je kweli Waislam wenzetu ni watu wa kuogopa?
Hata Waziri wa ardhi Bwana Lukuvi, pia anajifanya Mzungu, eti kuogopa Waislam. Duu! Huyu huyu Lukuvi kama angekwenda Ufaransa ya Kusini au atembee na kaunda suti yake mitaa ya Wazungu huko Texas, ataitiwa polisi maana huko wanaamini watu Weusi ndio wahalifu.

Ndio maana kazi yeyote ile inayohusiana na "ulinzi na Usalama" huwa ina pesa na ni biashara nzuri sana, iwe kwenye IT au silaha au Corporate World.
Ni akina nanii tuu wale hawaambuli kitu maana huwa wanatumwa tuu kufanya kazi za wakubwa Malipo ni sifa tuu. Eeeeh!

Mchonga majeneza au mchimba makaburi. Wanaishi kwa vilio vya wengine.

Baada ya Demokratiki kukosa, tumeona Utawala wa Obama umefanya mambo makubwa sana na ya maana ikiwa na pamoja kuipinga Israel kwenye zoezi lake la kujenga kwa nguvu kwenye makazi ya Wapalestina.
Dunia ilikuwa inasubiri haya kwa muda mrefu sana. Hata Al Gore alivyopoteza, Clinton alianza harakati rasmi na kutengeneza Uhusiano wa watu waliopinga Udhalimu wa Israeli kama vile Bwana Nelson Mandela.

JF hii forum ni ya siasa au Teknolojia au Great Thinkers au Inteligensia? Au tuseme this is a love story, its about 2 great lovers "Romeo and Juliet"
umeandika mkuu shinda nchi zetu za Kiafrika IT haina kipaumbele lakini dunia ya sasa ni IT kila kitu
 
Back
Top Bottom