MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,496
- 8,735
Hahaaa hawajui hao halafu kwa sasa Russia anawekeza sana kwenye Nyambizi make hizo ndo siraha hatari kabisa achana na biashara ya ndege, Nyambizi inaweza kuja kimya kimya na kuibukia pwani na kupiga na kutokomea.Mzee
Kazi ya radar ni kulocate na labda kudirect air target.
Sasa radar kuwa na vast coverage inakuwaje tishio kwa dunia ya Leo?
Long range missile likishachanganya what can tha radar aids you then IF I MAY ASK!!!
Rada kitu gani?