Likja swala la kupanda Mt. Kilimanjaro najifikiria mara mbili.
Sirudi tena kule juu.
watu wanakuja kuweka record lakin wabongo wala hatujui, hii habar nimeiona kwenye vyombo vya kimataifa!!! vyombo vya habar vya bongo wamejaza habari za makonda tu na yule dada mwenye wowowo dc mpya!!
ingekua jiran zetu wakenya hii story ingejaa kwenye magazeti yao yote ya utalii!!!