It's good for Russia to speak for Iran and other nations which are politically and militarily suppressed by Israel and the West. If Israel, a very small nation, has nuclear weapons then, why not other nations like Iran? All nations have the same status and deserve equal treatment. Long live, Iran and North Korea for your nuclear programme!
nakumbuka nilisoma mahali hitler akisema kwamba ukiona waziri wa mambo ya nje anasisitiza njia za diplomacy kutatua tatizo kwa nguvu zote..basi ujue nchi imeagiza silaha mpya na inajiandaa na vita...iran inajiandaa kwa vita..refiki yake wa karibu north korea kasema atampiga mmarekani..tusubiri tuone
Hawa Ma persian wana akili na Ujinga pia ni kama hao wajinga wenzao north Korea ikija vita basi watarusha vikombora vyao sita au saba na wakishambuliwa na wao wanarusha tena kama 20 then wanaomba maongezi huku wakiwa wamebakiwa na makombora 30 ambayo hayawezi kuwafanya washinde vita hii ni ujinga kama ule wa Gaza wamepigwa vibaya then wanatangaza wameshinda vita... tena baada ya kuliliwa na theluthi ya wajinga duniani haswa waarabu kuwa wanaonewa. Dunia nzima inajua mmepigwa vibaya na nyie mnatangaza mmeshinda Vita? bulshait.. mie napenda wakianzisha vita waachwe si na wao wanajifanya wamekua.... bakora zikiwaanza tu wanajaa mitaani na mabango waislam wanaonewa.... oooh! Mtoto akililia Wembe Mpe!
Israel ni Baba kubali au ukatae... Ukimlaani Mungu aakulaani wewe na ukimbariki na Mungu Atakubariki hayo ni maandiko kama unabisha Ole Wako
wewe ndio hujui unachouliza, bora kaa kimya!
Ikiwa utawala wa Kizayuni walipigana na Kikundi cha Wanamgambo wa Hizbullah cha Lebanon(Hizbullah sio nchi ni kikundi ndani ya nchi ya Lebanon) hadi Wazayuni wakaondoka ktk sehemu walizokua wamezikalia kule Lebanon itaiweza Iran?Walipigana siku 33.Vipi watu wenye upembuzi yakinifu wataisifu Israel eti wana nguvu,eti taifa teule ,je watu hawa wanasoma Biblia ipi?Tuache kufikirishwa.
Go back to school ndugu, halaf tumia vizuri internet yako itakusaidia...Israel Imekalia kwa mabavu (Nguvu za Kijeshi) kwa zaidi ya miaka 10 Southern Lebanon, Golan Heights(Jordanian teritory au Syria kama cjakosea) na Sinai Peninsula(Egypt) na waarabu wakashindwa kuwaondoa, encounter ya Israel na Hezbollah ilitokea na ni Hezbollah ndio waliofloat coz mwanzoni serikali ya Lebanon iliwaruhusu ku-operate ndani ya Lebanon baadae waziri mkuu wa Lebanon Rafik Hariri akawatosa na kuwadeclare outlaws so wakahamia Jordan then Palestine, for the record Israel haijawah kuwa at war na cjui vijiHezbollah, vijiHamas au Fatah instead kinachotokea ni hao jam