Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 788
- 1,015
Huu ni mtazamo huru nasita kuuita unabii maana neno hilo lina maana kubwa zaidi.
Kwa wakati huu, vita kubwa kama hii inavyoendelea kutanuka na kubadili mitazamo ya kimataifa ya kimahusiano, kiuchumi, kisera na kiulinzi; tutegemee mabadiliko makubwa ya kiulimwengu hata iwapo vita hii MUNGU akiamua iishe leo hii, sembuse vita inogeshwe zaidi na kuleta madhara ya kutisha zaidi.
China aliwawahi wenzie kwa kuanza kujikita Afrika kibiashara mapema zaidi , kwa hili linaloendelea anajikuta ana advantage zaidi ya wenzie( mabepari).
Afrika itaangaliwa kwa jicho la tofauti sana kwa sasa, kuna vitu vingi west walitegemea east ambavyo pengine Afrika hatujaanza hata kuexplore hizo natural resource kama hizo.
Bidhaa itakapogombaniwa na wateja muuzaji anapata fursa zaidi ya kujidai kwa kupanga bei nzuri zaidi itakayomnufaisha .
Hili linakwenda kwa ghafula kutuondoa chini ya lile kongwa la miaka mingi tangu tuwe huru la kunyonywa kibiashara na mataifa bepari kwa kupangiwa na soko lao waliloita soko la dunia.
Hakuna namna kwamba Afrika siku moja tungeamka na kujikuta huru kutoka kwenye kongwa hilo kwa juhudi za viongozi wachache wenue nia njema dhidi ya viongozi wengi wa Afrika ambao ni mafisadi na vibaraka wa magharibi.
Kumbe ni mkono wa MUNGU tu wa nguvu ndio unaoweza kulifanya hilo kwa kutumia moto, sio kwa amani. Vita hii kwetu inaweza kuwa ukombozi pia.
Ni wakati viongozi wa Afrika wakaacha uzwazwa na kubaki wanaishangaa vita tu, viongozi wetu ni kama madunderheads, yaani hata akili hazi wake up , hawaangalii mambo logically, kiongozi lazima uwe proactive and predictive, kama huna hekima nenda kachunge mbuzi wa ukoo kwenu sio kuongoza taifa la roho za watu.