Nilishasema tangia mapema, marekani ilikuwa inatafuta sapoti na sababu za kuishambulia Russia sasa ishu inakuwa ngumu kwani ushahidi wa kuungaunga hauna tija katika kui envolve urusi na shambulio hilo. Maana walimsingizia Sadam eti ana WMD wakaangamiza nchi ujanja huo huo wanataka kuutumia kwa Urusi lakini kazi wanayo.