Russia President warns over expansion of US space force

Russia President warns over expansion of US space force

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,754
Reaction score
47,113
Naona Russia anapigwa gap kila eneo na US,Putin kama kawaida yake haachi kulialia.
Screenshot_20191206-092739.jpeg
Screenshot_20191206-092817.jpeg
Screenshot_20191206-092836.jpeg
Screenshot_20191206-092857.jpeg
 
Mkuu anaetaka watu warudi kwenye mazungumzo ni Us na sio kiduku, na jana kiduku kasema us imeshachelewa na hataki tena mazungumzo, naona unaongea kinyume chake na ukitaka nitakuletea chanzo apaapa Acha kuongea uongo
Kiduku anatishia watu warudi kwenye meza ya mazungumzo[emoji16][emoji16][emoji16].... Amechelewa watu washatoka huko[emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14][emoji14]
Kiduku anatishia watu warudi kwenye meza ya mazungumzo[emoji16][emoji16][emoji16].... Amechelewa watu washatoka huko[emoji3][emoji3]
Since Day One Jamaa Hakua Muumini Wamazungumzo yoyote Yale Jamaa Ndio Walikua Wanamtomasa Tomasa Mpaka Akakaa Mezani Akaona Jamaa Wanamletea Ujinga Akawaambia 2 Nikiondoka Naondoka


Naona ss hv jamaa wana anza kuhangaika hangaika 2 ila jamaa kaishagoma tayar


Wawe wapole 2 walipewa nafas ya mazngumzo wakaleta utoto


Jamaa wanateseka sana US Na Shost Zake [emoji22][emoji12][emoji14]
 
Back
Top Bottom