Russia Kumenoga...

Hao jamaa ni hatari sana, lakini kiboko yao ni wale jamaa wa Chechnya...
 
Patachimbika manake waislamu waliopo russia wana very strong unions zenye aim ya kuhakikisha uislam hauchakachuliwi.
 
Mi ninachoogopa ni usalama wa zile facility za nuclear weapons...jamaa linalofanya kazi pale linaweza kuwa ni extremist (hardcore Nazi or hardcore islamist) likaamua kupigisha shoti waya mwekundu na wa bluu halafu sote tukanyeshwa na mvua ya Armageddon....:lol:
 
huku tupo mbali sana-
mbona ni known-kuwa hata kesho ukiwa unahitaji nuclear materials/ingredients nenda former USSR nations,utapata pasipo taabu-ndo maana alqaaeda walitangaza intention yao ya kuwa na nuclear facilities wakawa wamejipalia makaa
 
Kwa kifupi hali ya usalama dunia nzima si nzuri kabisa, na pia kuna kafununu ka vita ya 3 ya dunia, ngoja nikatafute nitapost hapa ...
 
There's nothing new about the rumors of the WW3 which have been in place since the 1960's
 
russia for russians, usa for americans, tanzania for tanzanians......
 
There are hundreds of these Neo Nazi militias and KKK groups all over USA and life goes on.

USA ni nchi ya wahamiaji siyo sawa na Russia. Halafu USA weupe wamepungua kulinganisha na Russia. Hizo ni nchi mbili tofauti.
 
Back
Top Bottom