Sio kwamba US anashindwa kutengeneza hizo roket nchin mwake tatzo ni kwamba gharama ya kuzitengeneza kwake ni kubwa sana kitu kinachomfanya aendelee kutegemea kununua kutoka nje(Russia)... Kumbuka mwaka 2014 km sikosei kwenye ule mgogoro wa Crimea bunge la arekan lilipiga kura kutaka kuzuia uingizwaji wa Rocket kutoka Russia na baadh ya maafisa wa Russia walisikika wakilalamika(km tunavyojua uuzwaj wa hzo rocket kwa US inawaingizia fedha nying sana)... Na pia kabla ya hpo tumeona NASA wakifanya tests mbalimbal za engine zao mpya japo ni gharama sana na sidhan km zitaanza kutumika hv karibun ukizingatia wanaweza kupata hicho kitu kwa bei nafuu zaid.
Mkuu hapa tunazungumzia kuhusu sayasi ya rocketi, tuwe wakweli hapa hakuna sababu ya kutoa lame excuses ku justify upungufu wa taaluma ya kuhunda a realible and a mega foot pound thrust first stage booster!
Wenzatu hao Taaluma hiyo bado inawapiga chenga kidogo - we sema Wamerika wamekubuhu sana kwenye propaganda ya kujifanya kila kitu wao zaidi!! Lakini wana sayansi weledi wa Merikani ambao hawajali mambo ya geopolitics/cold war wanaendelea kununua rocket boosters kutoka Urusi bila ya kujali kelele za wana saisa, makampuni shindani ya kuhunda rocketi nchini Merikani bila ya kusahau Senator McCain - wote hao ni wapuuzi tu. Warusi kwa mfano wanajua sana kwamba engine zao nyingine zitatumiwa na Wamerikani kurusha satellite za kijasusi za kuwapeleleza wa Urusi, lakini kwa kuwa Warusi wanaji amini hilo awajali - swali ni je Wamerika wangukuwa wamehunda rocket booster nzuri kama za Warusi wangekubali kuwauzia Warusi? Jibu ni hapana - senator McCain na ma neocon wenzake wangekuja na pingamizi kwamba Warusi watatumia booster hizo kijeshi! Ndiyo baadhi ya Viongozi wa Merikani walivyo, always selfish na roho mbaya.
Mkuu labda nikumbushe kitu, wanasayansi wa Merikani wame
jaribu sana ku reverse engineer rocket booster za Warusi kwa miaka mingi bila mafanikio wanashindwa kuelewa ni machine tools za type gani zinatumika kuzihunda - wana sayansi ni wakweli i.e hawasemi uongo.
Jaribu kuangalia mfumo wa rocket booster ya spaceX, wana wanaiga configuration za Warusi type ya SOYUZ - hata waseme vipi they gotta lot 2 learn from them Russians Rocketwise, that is - and they know it.
Tangu Merikani impoteze bingwa mahili wa asili ya kijerumani one Dr. Werner Von Braun huyo ndiye alikuwa rocket designer waliyo kuwa wanamtegemea sana, tangu afariki mambo mengi kigodo yanapwaya. Ni vizuri watu kuelewa historia ya mambo haya kutoka kwa wana sayansi wenyewe ambao awajali itikada za vita baridi, ukisoma au kusikiliza MSM utapoteza mwelekeo na hilo ndilo lengo lao kuu - watakuletea vitu ambavyo wamevi photoshop na ku animate basi, ni mara chache kusema ukweli.