This is burrying your head in the sand,there is simply no way uchumi ambao ni backed by Fiat Currency unaweza kushindana na uchumi ambao it's currency is backed by Gold mkuu.Mawazo yako yamejengwa kwenye misinformation inayotokana na Western propaganda and lies.Tusubiri,ila mawazo yako yata-crumble right in front of your eyes very soon like a block of ice.Brics haiwezi kuwa na nguvu yoyote, mataifa ambayo yanaunga mkono umoja wao wa kifedha Gold-Backed Currency ni nchi masikini sana, nchi hizo hizo wengi wao wanaitegemea US kwa kila kitu, China, South Africa ni nchi ambazo haziwezi kuhimili hata kwa dakika moja vikwazo vya US,
Soko la mataifa ya Euro na $ , ni kubwa sana na limeekezwa muda mrefu sana nchi nyingi tajiri zinaunga mkono umoja huu ambao ndio unaoendesha dunia kiuchumi, Nchi kama Africa Kusini ambayo yenyewe bado haijaweza kuji- stablize itaweza vipi kuruka vihunzi vya US na kwenda kutegemea upande ambao hauna uhakika ambao umekuzwa na chuki tu za dikteta putin, pia China technologia yake yote aliyonayo baada ya kuekewa vikwazo vya technologia juzi ameiomba US imuondoshee vikwazo unafkiri ni kwa vipi umoja huo fedha utaenda kuiangusha $
Go to hell you conspiracist.Tusubiri,ila the West na BRICS ni establishments mbili tofauti kabisa.This difference may cultivate a completely new atmosphere for handling World issues.So kama nilivyosema,tusubiri.
Tatizo ni kwamba tuliamishwa the West ndio the best model of how to do things and the way to success,kumbe si kweli,it is a fuss.
Hata yakawa thinkbale kwa sasa ni wazo ambalo limechelewa sana, soko limeshawahiwa kitambo sana na investment ya $ na Euro, hakuna tajiri atakaelekea kwenye umoja usio na uhakika kwenye biashara, hao south Africa kwanza waondoe mgao wa umeme kwenye nchi ndio waweze kuja kutoa mchango wa kuendesha ulimwengu kwa Gold-Backed currency.,This is hurrying your head in the sand,there is simply no way uchumi ambao ni backed by Fiat Currency unaweza kushinda uchumi ambao it's currency is backed by Gold mkuu.Mawazo yako yamejengwa kwenye misinformation inayotokana na Western propaganda using lies.Tusubiri ila mawazo yako yata-crumble right in front of your eyes very soon.
Kumbuka kwamba mawazo ya BRICS yalikuwa unthinkable only a few years ago.
Bot wwpo kw jili ya matumbo yaoMawazo ya Gaddafi yanawadia sasa
Halafu sisi masikini tunaochimba dhahabu kama viazi wala thamani hatuijui
Gold reserves yetu hovyo naona hata 500 metric tons hatuna
Dhahabu siyo kokoto mzeeMawazo ya Gaddafi yanawadia sasa
Halafu sisi masikini tunaochimba dhahabu kama viazi wala thamani hatuijui
Gold reserves yetu hovyo naona hata 500 metric tons hatuna
Reserve yetu ni ndogo kwa sababu ya masharti tuliyopewa zamani walipotuletea sera za utandawazi.Gold reserves yetu hovyo naona hata 500 metric tons hatuna
You must be living under the rock, over the years the US dollar has been losing it's hegemony from 90% in 1999 to about 52% in 2022.Those are only assumptions, nothing like that will happen that will threaten the US dollar hegemony as there is no alternative to dollar at the moment.
Nani alieleta Sera hizo MkuuReserve yetu ni ndogo kwa sababu ya masharti tuliyopewa zamani walipotuleteaa sera za utandawazi.
Zilikuwa ni sera za restructuring za IMF/WB kwa nchi masikini, zilitulazimisha kupunguza gold reserve, budget ya ulinzi, elimu, afya n.kNani alieleta Sera hizo Mkuu
Hakuna kuwasikiliza majambazi hayoZilikuwa ni sera za restructuring za IMF/WB kwa nchi masikini, zilitulazimisha kupunguza gold reserve, budget ya ulinzi, elimu, afya n.k
Siyo ujinga, duniani hapa ni wild kweli kweli, mkubwa kula mdogo ndiyo mwendo. Museveni mwenyewe ni juzi tuu ndo ameanza kuota mapembe, baada ya Urusi kulianzisha Ukraine, kabla ya hapo alikuwa hana jeuri hiyo.Hakuna kuwasikiliza majambazi hayo
M7 anasema eti waliambiwa wasimsaidie Libya na wakakubali kwa woga
Ila sasa naona tumeanza kujielewa
Laiti kama tungewakataa na kufanya yetu tungejitegemea
Nchi zetu zinalazimiswa kupokea "misaada" ili tukubali mikopo, bila ya sisi kuchukua mikopo nchi za magharibi zitaanguka kiuchumi.Ila na sisi ni wajinga, yaani misaada inatufanya tuwe dhalili wakati tuna kila kitu
Marekan unazani kwa nini ana Gold reserve kubwa sana? Yeye ni wa pili kama sio wa kwanzaBrics haiwezi kuwa na nguvu yoyote, mataifa ambayo yanaunga mkono umoja wao wa kifedha Gold-Backed Currency ni nchi masikini sana, nchi hizo hizo wengi wao wanaitegemea US kwa kila kitu, China, South Africa ni nchi ambazo haziwezi kuhimili hata kwa dakika moja vikwazo vya US,
Soko la mataifa ya Euro na $ , ni kubwa sana na limeekezwa muda mrefu sana nchi nyingi tajiri zinaunga mkono umoja huu ambao ndio unaoendesha dunia kiuchumi, Nchi kama Africa Kusini ambayo yenyewe bado haijaweza kuji- stablize itaweza vipi kuruka vihunzi vya US na kwenda kutegemea upande ambao hauna uhakika ambao umekuzwa na chuki tu za dikteta putin, pia China technologia yake yote aliyonayo baada ya kuekewa vikwazo vya technologia juzi ameiomba US imuondoshee vikwazo unafkiri ni kwa vipi umoja huo fedha utaenda kuiangusha $
Kweli kabisa mkuuSiyo ujinga, duniani hapa ni wild kweli kweli, mkubwa kula mdogo ndiyo mwendo. Museveni mwenyewe ni juzi tuu ndo ameanza kuota mapembe, baada ya Urusi kulianzisha Ukrein, kabla ya hapo alikuwa hana jeuri hiyo.
Hawa viongozi wetu huwa wanatishwa sana, hawasemi tuu, Magu mpaka aliletewa magaidi kule Mtwara.
Bila ya kuwa na wababe wa kukukingia kifua kama korea kaskazini anayetetewa na Urusi na China huwezi kuwadindishia wakubwa ukabaki salama, mifano hai ni Zimbabwe, Libya na Iraq.
Nchi zetu zinalazimiswa kupokea "misaada" ili tukubali mikopo, bila ya sisi kuchukua mikopo nchi za magharibi zitaanguka kiuchumi.
NK inasemekana huwa wanazichapisha. Kuna wachambuzi wanadai kihistoria reserve currency huwa haimudu zaidi ya miaka 100 na hii dola yetu teyari imeshafikisha miaka 80 hivi.Kweli kabisa mkuu
Ila kwa sasa tumejua hata mataifa makubwa ni mafia tu
Wanaiba bila aibu na wanachonganisha haswa
Utaona nchi zinapigana au vita vya ndani, magaidi wa mchongo ili tu wao wafaidi madini na wanachoweza
Ningekuwa Rais ningehakikisha mpaka $ feki naweka machines za kufyatua ili tuende nao sawa
Ingawa naona inawezekana kuna baadhi wanazo who knows
Inawezekana mkuuNK inasemekana huwa wanazichapisha. Kuna wachambuzi wanadai kihistoria reserve currency huwa haimudu zaidi ya miaka 100 na hii dola yetu teyari imeshafikisha miaka 80 hivi.