Russia,China VETO Syria sanctions

Tycoon2

New Member
Mar 9, 2016
4
1
Daah nimefungua mAljazeera sahivi nikakumbana na hiii kit. Aiseee nimestuka. Hii inamaanisha nini wadau?

Si maana yake China na Urusi wako tayari ku defend allies wao kweny lolote lile.
Urusi na China wamenisikitisha kwa kweli

which means kale kamdudu ka North Korea anytime marekani akitaka kukapa kichapo Mrusi na China lazima waingilie.

Najiuliza tu....huku kijijini Kagera nilipo sasa hivi mabomu hayatafika kweli haw watu wakizichapa?
 
hivi nyie siasa za dunia hii mnazielewa?au ndo ulimwengu ndo mmeujua majuzi wakati wa mfumo wa wakibepari unatamba,hujiulizi mbona maazimio mengi ya baraza la usalama likitolewa na uingreza au ufaransa lazima liungwe mkono na marekani?jaribuni hata kusoma vitabu muielewe siasa ya dunia!
 
Syria bado ni kitendawili kikubwa. Warusi wameshaweka nanga pale na Wamarekani sasa wanataka kuingia labda wamuondoe mrusi ili waweke mtu wao. Kutaendelea kuwaka moto kule.

Daah nimefungua mAljazeera sahivi nikakumbana na hiii kit. Aiseee nimestuka. Hii inamaanisha nini wadau?

Si maana yake China na Urusi wako tayari ku defend allies wao kweny lolote lile.
Urusi na China wamenisikitisha kwa kweli

which means kale kamdudu ka North Korea anytime marekani akitaka kukapa kichapo Mrusi na China lazima waingilie.

Najiuliza tu....huku kijijini Kagera nilipo sasa hivi mabomu hayatafika kweli haw watu wakizichapa?
 
na ww ndugu yangu ulioko bukoba unahofia mabomu ww lala unono marekani hawezi kuleta matata wababe wenzie wapo anti marekani bila ya hao mbona marekani tungemkoma kwa uonevu!
 
Daah nimefungua mAljazeera sahivi nikakumbana na hiii kit. Aiseee nimestuka. Hii inamaanisha nini wadau?

Si maana yake China na Urusi wako tayari ku defend allies wao kweny lolote lile.
Urusi na China wamenisikitisha kwa kweli

which means kale kamdudu ka North Korea anytime marekani akitaka kukapa kichapo Mrusi na China lazima waingilie.

Najiuliza tu....huku kijijini Kagera nilipo sasa hivi mabomu hayatafika kweli haw watu wakizichapa?
kinahokushangaza kwe hiikura ya leo ni nn hasa maana siku zote russia&china wamekua waki oppose resolution za west zilizo against syria kwe UNSC, amna jipya lolote hapo
 
Back
Top Bottom