Steven Sambali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2008
- 364
- 183
Una ndoto za mchana wewe!!
Kama ni misaada, basi USA kuna hitajika sana.
Unajua Warusi zamani walikuwa hawana kitu na leo wana nafuu na hivyo maisha yao wanafurahia.
USA zamani walikuwa na kila kitu ila kwa sasa wamepigika si kawaida, maisha yao ni Ahera.
USA na Russia wanafahamiana. Utasikia sasa hivi kundi fulani la Kirusi huko USA limetimuliwa.
Majasusi ya Kimataifa, yanajuana kwa vilemba..... Sijui hii methali ipo duniani?
Tatizo liko wapi ?Putin anajua USA hawawez saidia bila kupata something in return... Nd maana awatimue tu
Waende mbali zaidi kwa kivitimua vi NGOs mshenzi vya Kimerikani nchini Urusi na Uchina kama kweli vipo - vinatumiwa sana na western intel agencies ku-fund vikundi vya kuleta vurugu kwa maandamano na wakati mwingine kiwatumia snipers walio penyeshwa nchini kuua watu ili vyombo vya magharibi vipate sababu ya kulahumu Serikali ambazo hawazipendi mbinu hizi zilitumika sana huko Ukraine kwa kuipindua Serikali iliyo kuwa imechanguliwa kidemokrasia - tangu Putin aseme hataruhusu tena washirika wake kufanyiwa michezo ya colour revolution ndio maana hatuvisikii tena siku hizi, na kwa kuwa hii ya Ukraine inaelekea kushindwa ndio maana USA wameanza kukata tamaa.Kama ni misaada, basi USA kuna hitajika sana.
Unajua Warusi zamani walikuwa hawana kitu na leo wana nafuu na hivyo maisha yao wanafurahia.
USA zamani walikuwa na kila kitu ila kwa sasa wamepigika si kawaida, maisha yao ni Ahera.
USA na Russia wanafahamiana. Utasikia sasa hivi kundi fulani la Kirusi huko USA limetimuliwa.
Majasusi ya Kimataifa, yanajuana kwa vilemba..... Sijui hii methali ipo duniani?
Huwa unawezeja kupata muda wa kuandika utumbo mrefu hivi?!Waende mbali zaidi kwa kivitimua vi NGOs mshenzi vya Kimerikani nchini Urusi na Uchina kama kweli vipo - vinatumiwa sana na western intel agencies ku-fund vikundi vya kuleta vurugu kwa maandamano na wakati mwingine kiwatumia snipers walio penyeshwa nchini kuua watu ili vyombo vya magharibi vipate sababu ya kulahumu Serikali ambazo hawazipendi mbinu hizi zilitumika sana huko Ukraine kwa kuipindua Serikali iliyo kuwa imechanguliwa kidemokrasia - tangu Putin aseme hataruhusu tena washirika wake kufanyiwa michezo ya colour revolution ndio maana hatuvisikii tena siku hizi, na kwa kuwa hii ya Ukraine inaelekea kushindwa ndio maana USA wameanza kukata tamaa.
Halafu kaandika li sentesi lilrefu kama paragraph mbili hivi.Huwa unawezeja kupata muda wa kuandika utumbo mrefu hivi?!
Huyu Bukyanagandi na Mathanzua ni kama mapacha katika kuandika ujinga mrefu kama gazeti. Hawa ni nutcasesHalafu kaandika li sentesi lilrefu kama paragraph mbili hivi.
sasa si ungeandika kwa lugha ya nyerere mkuu ili wa darasa la saba c japo tuelewe kidogo au...?jmushi1;Funguka zaidi basi mkuu.kaka inshort the collapse of the Soviet union was a deception planned for a very long time by the KGB director ANDROPOV in early 1968 since they knew that Cold war was at their dis-advantage and they were destined to lose,....U.S.A was leading in super Civilian and military technology.The KGB and Brezhnev decided Perostroika and Glasnost(the political and economic reforms initiated by Gorbachev)....these secrets were leaked by the former KGB agent ANATOLIY GOLITYSN....he warned that russia is planning a very dangerous move to enroute America by collapsing the Soviet union...by doing so America and NATO would lower their guard hence russians would easily get access to U.S advanced technology.Unfortunately when these were discussed in the house of commons in U.K some said its only hallucination while other doubted the Russians.The year when President Clinton visited russia he offered them a military technology as a tokken for accepting U.S investment in russia.President YELTSIN even dissolved the KGB to form the FSB were by many ex-kgb lost their jobs hence started to distabilize Russia making her the first world corrupt state which also is a deception to fool America since the money stolen by the ex-kgb is used to finance terrorist groups in the world also its used to conduct high tech experiments since Russian experiments and technological stealing are initiated by CHINA..believe it or not.Ask yourself why did the U.S.S.R collapse without bloodshed?Why didn't russia initiate the economic reforms?Why is Russia selling more than 2000 nuclear warheads to their enemy U.S?Why is Gorbachev still alive despite his treachery?Why did the Coup by the KGB and the Red army in 1991 fail despite they seized the whole Moscow and Gorbachev?....until now the U.S is under severe danger from China and Russia who are now having her technology,bankrupting the IMF,WB and EUROPEAN union by making them engage in fruitless wars,puting the U.S under a big debt from China and worse enough Russia still control all the former soviet countries secretly.....soon an alliance will be formed by Russia,India and China then kABOOOM to the US.
em japo kwa kiswahili kwa ufupi mkuuu ....na mimi nielewe...jmushi1;Funguka zaidi basi mkuu.kaka inshort the collapse of the Soviet union was a deception planned for a very long time by the KGB director ANDROPOV in early 1968 since they knew that Cold war was at their dis-advantage and they were destined to lose,....U.S.A was leading in super Civilian and military technology.The KGB and Brezhnev decided Perostroika and Glasnost(the political and economic reforms initiated by Gorbachev)....these secrets were leaked by the former KGB agent ANATOLIY GOLITYSN....he warned that russia is planning a very dangerous move to enroute America by collapsing the Soviet union...by doing so America and NATO would lower their guard hence russians would easily get access to U.S advanced technology.Unfortunately when these were discussed in the house of commons in U.K some said its only hallucination while other doubted the Russians.The year when President Clinton visited russia he offered them a military technology as a tokken for accepting U.S investment in russia.President YELTSIN even dissolved the KGB to form the FSB were by many ex-kgb lost their jobs hence started to distabilize Russia making her the first world corrupt state which also is a deception to fool America since the money stolen by the ex-kgb is used to finance terrorist groups in the world also its used to conduct high tech experiments since Russian experiments and technological stealing are initiated by CHINA..believe it or not.Ask yourself why did the U.S.S.R collapse without bloodshed?Why didn't russia initiate the economic reforms?Why is Russia selling more than 2000 nuclear warheads to their enemy U.S?Why is Gorbachev still alive despite his treachery?Why did the Coup by the KGB and the Red army in 1991 fail despite they seized the whole Moscow and Gorbachev?....until now the U.S is under severe danger from China and Russia who are now having her technology,bankrupting the IMF,WB and EUROPEAN union by making them engage in fruitless wars,puting the U.S under a big debt from China and worse enough Russia still control all the former soviet countries secretly.....soon an alliance will be formed by Russia,India and China then kABOOOM to the US.