Rushwa ya kupata ajira Tanzania

Rushwa ya kupata ajira Tanzania

Ajira zinauzwa nje nje. Uhamiaji ni laki saba ukiutaka ni PM nikupe namba ukachukue kazi. uwe na vyeti halali. Upolisi laki nane mpaka milioni. sina namba ya muhusika.TRA ni milioni tatu uwe na vyeti halali na uwe uliapply na kupata namba ya interview. unazo m tatu ? CRDB uwe na vyeti na hongo sina cotact ya muhusika. Taja pengine nikuunganishe kwa pm.

tatzo co kununua mchonho tatzo usalama wa pesa zako, mjini hapa
 
Wabari waku?!!
Me naomba niulize mnisaidie hivi ni kwamba wajirii wamekosa uzalendo??? wazinzi sana?? Tamaa ya hela???kukomoana au??? au ni gani mbayaa hapa,
Kupata kazi sikuhizi hadi uwe na yapi?
1.cheti kizuri G.P.A nzuri??
2.referees??
3.hela ya kuhonga???
4.kama ni msichana uwe mrembo?
5.ukienda kwenye office uwe voluntere kwa muda ndo uwe mfanyakazi???
6.ukubali mshahara mdogo kisa unaanza kazi??
7.uwe umepitia maoffice mengi sana wakiwa wanamaanisha uwe na expirience au??
8.ukoo wako uwe unafanana na wa kigogo anaefahamika mjini!! Au mwanasiasa au mayer??au koplo au Dc!!! Eeeeee ndooo taaabu getee


Au inakuaje wakuu,me nashindwa kuekewa which iz which
Non Of The Above Mentioned
 
Back
Top Bottom