ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Hamjambo wadau.Natumaini mko poa kabisa mkiendelea na mahangaiko yenu ya kila siku ili angalau siku ipite.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu naamini kila mmoja ameshawahi kutoa au kupokea rushwa,kuiba au kuibiwa, wengi watabisha lakini hata kutoroka kazini ni wizi wa muda,hata kumpa mtoto jero ili afanye kazi fulani nyumbani kwenu ambayo itakuwa na faida kwake pia ni rushwa,hata kumpa chips demu ili umvue pichu ni rushwa,hata kubana chenji baada ya manunuzi uliyotimwa dukani ni wizi pia.
Tuache hii dhana ya kuwa watumishi wa umma tu ndiyo wala rushwa.
Nionavyo mimi rushwa tunanajifunzia utotoni na kukua nayo hivyo tukikua inakua.
Tunatengeneza taifa la wapiga dili lakini wasio na maendeleo.Kwani kila ukipokea hapa unatoa pale.
Mama anampiga baba kwenye bajeti ya familia ili akafanyie ishu zake,watoto wanapiga na baba anaipiga familia ktk ulevi na michepuko.
Mwisho wa siku yule dogo aliyempiga baba kwenye ada akiwa ofisini hawezi acha kupiga customer wake.Na hapo kila mtu anaanza kulalamika na wanasiasa as if ndiyo waliotulea.
JF ni ukumbi wa watu makini sana karibuni tujadili bila kumnyooshea mtu kidole,hivi tunatokaje hapa? Na tukitoka tunataka kwenda wapi?
Karibuni.