Rushwa police dar

Rushwa police dar

mbwili

Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
8
Reaction score
1
Ndugu zangu rushwa imepamba moto kuhusu rist kwa wateja ambao wananunua mizigo bila kupewa rist ya efd naomba vyombo husika viingilie kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Police wa dar wanapenda Rushwa sijapata kuona, kuna kakituo kadogo ka mjimwa-kigamboni nawalia mingo. Siku moja watalia na kusaga meno. Hata akikuandikia maelezo tu ya kesi anataka utoe pesa wakati ni miongoni mwa majukumu yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hata mm nimeiona Kkoo. Wafanyabiashara sasa wanalalamika mno wengine wamekimbia maduka yao kabisaaa.. waliopo wanaogopa kufata mzigo hata store. maana unaweza kua unatoka na mzigo wako Store polisi hao hapo.

Ukikutwa na Mzigo wanaomba risiti ukiwaonesha hata kama Risiti ni halali wanakubambikia kesi kwamba pesa iloandikwa kwenye risiti haiendani na pesa ya bidhaa hata kama zinaendana
 
Ujinga kama huo upo Tanzania tu



Nchi inaendeshwa kwa wazo Wa mtu mmoja
Vyeti
Risti
Madin
Upinzani
Sumaye
Uchumi
Kupanda bei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom