Ni kweli wazo ni lakini kwa watanzania huo ni utaratibu mrefu hivyo ni vigumu kutekelezwa hasa ukuzingatia trafic wenyewe hawataki hela nyingi buku mbili mpaka tano.wazo zuri na lita punguza,rushwa na usumbufu.
..Kifungu cha 15 cha Sheria ya kuzuia na kupambana na Rushwa kinasema Mtoaji na Mpokeaji Rushwa wote mnatenda kosa. Kifupi wewe ni Mtuhumiwa unaetakiwa ukasimame kizimbani.Usinitie machungu ni muda huu tu Trafic kanisimamisha amenikuta ninakosa la kutofunga mkanda, nimemwambia najua Notification ni Elfu 20000 twende kituoni nikawalipe kwa Check kwakua sina cash yakutosha sanasana nina Elfu 5000 tu akaniambia hawapokei Hundi wanapokea Cash tu, nikamwambia sasa basi ngoja niende bank akasema usinipotezee muda we niachie hiyo Elfu 5000! Basi nikawa sina jinsi nikamuachia.
Akasimame Kizimbani baba yako! Yaani nimekubali kosa na ninataka kwenda kukulipa halafu unaniambia hampokei Check??..Kifungu cha 15 cha Sheria ya kuzuia na kupambana na Rushwa kinasema Mtoaji na Mpokeaji Rushwa wote mnatenda kosa. Kifupi wewe ni Mtuhumiwa unaetakiwa ukasimame kizimbani.
Ndugu Ndallo,hyo ndio njaa ya matraffic wa hapa kwetuUsinitie machungu ni muda huu tu Trafic kanisimamisha amenikuta ninakosa la kutofunga mkanda, nimemwambia najua Notification ni Elfu 20000 twende kituoni nikawalipe kwa Check kwakua sina cash yakutosha sanasana nina Elfu 5000 tu akaniambia hawapokei Hundi wanapokea Cash tu, nikamwambia sasa basi ngoja niende bank akasema usinipotezee muda we niachie hiyo Elfu 5000! Basi nikawa sina jinsi nikamuachia.
Samahani lakini kusema kuwa "nawachukia polisi wote, na sitakuwa na urafiki na polisi" ni wanafiki,waongo,wauaji,Wezi,wapokea rushwa nkTrafiki trafiki trafiki.....
wana laana hawa jamaa, hawakawii kukuzushia leseni yako feki, na kupisha ufunguzi wanakuweka ndani kwenye sero zao
Imekua nijambo la kawaida kwa traffic wetu kuchukua rushwa au kukuandikia kulipa faini papo kwa papo,pia pesa hizo tunazolipa hazifiki hata kwenye vituo vyao acha serikarini. ushauri:nashauri serikali ifungue account bank zote kwaajiri ya watu kulipa faini uko badala ya kumpa traffic mkononi.pia iandae utaratibu ambao mtu akikutwa na kosa sio lazima alipe faini papo hapo,apewe muda angalau wa siku saba awe ameshalipa kwenye hiyo account na apeleke risiti kituo chochote cha polisi coz hakupita barabarani kuja fanya kosa.kwa kua kwasasa leseni ziko recorded kwenye mtandao,system zifungwe kila kituo ambapo na traffic akikuandikia faini anachukua licence no ya hiyo leseni yako then anaimark hilo kosa kwenye system na faini yake aliyokuandikia then ww ukishalipa unapeleka risiti kituo chochote wakicheq leseni yako wanaingia kwenye mtandao na kureset ile mark bila yule polisi kuusika.great thinkers hii mnaionaje?