Rushwa katika kuomba ajira

Rushwa katika kuomba ajira

Nguchiro

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
364
Reaction score
31
Members juzi jumatano nimeomba nafasi ya kazi moja iliyotangazwa humu humu katika hii forum iliyokuwa inatutaka kutuma CV na passport size picture funny enough leo asubuhi mtu from the same company ananitumia message akidai nimforwadie 30,000/= katika tigo pesa au m-pesa leo ili anitumie maswali ya interview pia nikipata ajira nigawane nae salary ya kwanza, sija-react yet ila nawashukuru wale wote wenye juhudi ya kutupa update ya nafasi mbalimbali za kazi ila hawa personel wa kampuni husika wanaharibu majina ya kampuni zao kwa tamaa zisizo na tija, kama tumeomba watu 1000 au zaidi na wote tumetumiwa message hii, halafu watu wakadonate kwa upendo hizo 30,000/= tujiulize huyo mtu anapata Tsh ngapi?cha kuchekesha zaidi nafasi inayoombwa ni moja, watu wana shida wengine mnatake advantage ya udhaifu wao japo inakatazwa kutukana humu ndani ila some people are ----ing bastards kwa kweli. Nawasilisha.
 
Mkuu hiyo ndiyo tabia ya baadhi ya watanzania.Si mlisema kila mtu awe mbunifu ili kukabilana na maisha!
 
huo si ubunifu mkuu huo ni unyonyaji uliokithiri, tena wahusika walaaniwe kwa tabia yao hiyo
 
Itaje hiyo kampuni Nguchiro waumbuke weka na hiyo namba tuwabane wajulikane kwa watanzania na hata kama atapoteza kazi ndo itakuwa fundisho kwa wengine ili kuondoa uozo huo wa kizazi cha zinaa.
 
Itaje hiyo kampuni Nguchiro waumbuke weka na hiyo namba tuwabane wajulikane kwa watanzania na hata kama atapoteza kazi ndo itakuwa fundisho kwa wengine ili kuondoa uozo huo wa kizazi cha zinaa.
kweri mkuu ataje
 
Members juzi jumatano nimeomba nafasi ya kazi moja iliyotangazwa humu humu katika hii forum iliyokuwa inatutaka kutuma CV na passport size picture funny enough leo asubuhi mtu from the same company ananitumia message akidai nimforwadie 30,000/= katika tigo pesa au m-pesa leo ili anitumie maswali ya interview pia nikipata ajira nigawane nae salary ya kwanza, sija-react yet ila nawashukuru wale wote wenye juhudi ya kutupa update ya nafasi mbalimbali za kazi ila hawa personel wa kampuni husika wanaharibu majina ya kampuni zao kwa tamaa zisizo na tija, kama tumeomba watu 1000 au zaidi na wote tumetumiwa message hii, halafu watu wakadonate kwa upendo hizo 30,000/= tujiulize huyo mtu anapata Tsh ngapi?cha kuchekesha zaidi nafasi inayoombwa ni moja, watu wana shida wengine mnatake advantage ya udhaifu wao japo inakatazwa kutukana humu ndani ila some people are ----ing bastards kwa kweli. Nawasilisha.
kaka nakushauri usitume huyo tapeli
 
kampuni ni: Nexon International kama mhusika alivyodai ndiko wanapotaka huyo program officer,
pia akadai anataka scanned certificates azitume visionafricaf@gmail.com kwa wenye ufahamu wa IT mtusaidie kama hii site ipo kweli na hiyo kampuni ipo au la, namba nizimwage pia?wasije watu wa pccb wakazama jamvini humu ikawa sooooooo
 
kwa msg ya huyo mdada kweli watanzania wa sasa hatuoneani huruma hata kidogo aiseee khaaaa
 
kwann utume scanned certificates mkuu??? tapeli huyo....watch out!!!!!!!!!!
 
jamani huyo rachel anaejidai yupo nexon anasumbua watu sana sijui tumfanyeje maana tuliopata hiyo msg ni wengi sana, kila tukipiga hizo namba hazipokelewi, sasa baada ya kupokea ushauri kutoka kwa members humu, baada ya kuandika ile thread ya "tahadhari kwa walioomba kazi vision to africa" nilienda kituo cha polisi hapa arusha na msg yangu, nikajieleza vizuri,nikaingia jf nikamuonyesha malalamiko ya watu wengine wa maeneo tofautitofauti wakaniambia tutaliafuatilia na usisite kutoa ushahidi uwe tayari pale utakapotakiwa, kwakua mm ni mwanaharakati nikasema hamna shida boss,sasa nikaondoka.,jana nikapita hapo kujua ni nini kinaendelea wakaniambia bado uchunguzi unaendelea sasa wakubwa hapa sijui ndo linafuatiliwa au ndo nini?maana taratibu za polisi mim sijui zinachukua mda gani...otherwise pole sana brother na usije ukawatumia chochote ni matapeli hao
 
imagine hii nchi ina watu wa namna gani, mimi naona zoezi la kusajili line za simu halikuwa na tija in my views maana ile namba 0713749735 niliitrace kwa tigo pesa ikadisplay jina RACHEL MWAKAPALILA hivi kweli tiga hawawezi kusaidia kumpata huyu mtu?na pia inawezekana si jina lake ndo hapo ninapoona kukosekana tija kwa zoezi la kusajili line, watu wana shida ya ajira watu wanajidai wabunifu wanatumia hiyo loop kujineemesha, tunaenda wapi?hata kama watu wako na tatizo la ajira playing them for fool si jambo jema kaa ukikumbuka kwamba daima kesho ipo tu na utalipwa ten folds
 
rai yangu kwa members wengine si kwamba watu hawataki kupata update za kazi ila ni bora kupata tangazo la nafasi 3 za kazi kutoka kwenye makampuni yanayojulikana kuliko kupata matangazo ya nafasi 1000 ambazo makampuni yake hayaeleweki, members wengi wana nia ya kutafuta kazi ila wanapata wakati mgumu sana kutokana na challenge kama hizi za kuombwa rushwa za aina mbalimbali na mengineyo mengi
 
Ila kazi zimekuwa ngumu sana siku hizi,undugu ndan,rushwa ndani sasa da sijui wengine tupumzikie wapi bongo noma!
 
Huyo tapeli,kama post ni moja na uwezekano wa kwamba watu wameomba wengi maana yake ametuma hiyo sms kwa waombaji wote,usimtumie utaliwa(kekundu hako)
 
kampuni ni: Nexon International kama mhusika alivyodai ndiko wanapotaka huyo program officer,
pia akadai anataka scanned certificates azitume visionafricaf@gmail.com kwa wenye ufahamu wa IT mtusaidie kama hii site ipo kweli na hiyo kampuni ipo au la, namba nizimwage pia?wasije watu wa pccb wakazama jamvini humu ikawa sooooooo
Inawezekana ni yule mtu anayejiita Rachel, kuwa makini ni tapeli huyo
 
Back
Top Bottom