Rushwa Bungeni, wabunge 18 CCM kupandishwa Kisutu

Tatizo kesi nyingi za TAKUKURU hazina ushahidi wa kutosha kuwaweka watuhumiwa hatiani. Tutashuhudia wote wakishinda kesi na kufungua kesi za madai dhidi ya serikali
 
Sumu : Mtikila alisema maneno hayo hayo Mungu akaitaka roho yake .Kamanda hana hatia ndio maana Malipo mnayapata hapa hapa duniani
 
Hawa nahisi kuna mtu mkubwa wanamtafuta ila wameanzia mbali Ili watu wasistuke.
 
Magazeti yanaripoti kuwa kuna wabunge zaidi ya 18 wa CCM wanatarajiwa kupelekwa mahakamani kufuatia vitendo vyao vya rushwa kutoka taasisi za serikali katika vikao vya kamati.Hadi sasa tayari wabunge wa4 wa CCM wameshapanda Kisutu kwa rushwa
Sio magazeti...bali ni tanzania daima
 
Ikiwa Ni Kweli huu Ndio Muda wa kujipanga kimkakati kutwaa majimbo yote hayo! Na Silaha KUBWA Ni huo wimbo wa rushwa waliokutwa nao! Eee Mungu Kama unavyoishi tafadhari Tunaomba haki itendeke Kule mahakamani. Amen!!!
kumbuka kwamba huo wimbo siku hizi hauimbwi CHADEMA labda kama unapenda uimbwe, lakini bado ni ngumu sana kutokana nadhambi iliyofanywa na Mbowe kumkaribisha papa la ufisadi ndani ya CHADEMA, kwa taarifa ndogo tu ni kwamba wabunge wote ni wala rushwa kwenye hizo kamati zao, kinachotokea ni kuchomeana2.
 
Ndio maana wanakomaa tusione bunge Kumbe wanahofia mambo Kama Haya yangeibuka!

Sijui Zitto aliongea Nini Kule PCCB.
 
Wabunge wa CCM ni wengi kwa hiyo ni issue ya "chance"

Mleta mada usitake kutuaminisha kuwa ni wabunge wa CCM pekee ndio wanaopokea rushwa...!
Acha ujinga! Sasa mtu ataenda kumpa rushwa Halima Mdee ili apate Nini? Rushwa inatolewa Kwa mtu ambaye utanufaika nae, rushwa wanachukua wa CCM coz wao Ndio wenye uwezo wa kusema Ndiooooooooooooooooo Na ikapitishwa! Umpelekee Rushwa Mpinzani how will you benefit? Mtu ambaye Ndio zao ziko chache tu!
 
Back
Top Bottom