Furaha na amani ya nchi yangu ,maendeleo yangu na wanangu na familia yangu ni juu ya kura yangu ambayo itaenda si kwa utawala ule ulioikandamiza matakwa na mahitaji ya nchi yangu.
Hakika huwezi kumulika tochi katika giza la waovu na wezi na ukamuona mtakatifu mmoja na ni ngumu pia kuweza kumbadili ili aweze kuwa mwema na mwadilifu badala yake ni rahisi kuwasha mshumaa ktk kiza kinene na ukamuona na kumbadilisha yule aliyemuovu ndani ya kundi la wema.
Binafsi nmechoshwa na utawala ulio wa uovu na ukandamizaji ,unyanyasaji na ufisadi ambao humchafua kila aliyekuwa mwema na kureflect harufu ya uovu kwa kla baya.sasa ninaamka kutoka ktk usingizi mzito niliolazwa kwa kipindi kirefu na mapenzi yaliyoniumiza kwa muda mrefu kuishi bila furaha na amani ndani ya nchi yangu kwa kuipa kura kipindi kirefu CCM na sasa naamka na kufanya maamuzi sahihi na yenye manufaa makubwa katika maisha yangu na ya jamii yangu kwa ujumla.
Wakati ni huu wa mabadiliko katika nchi yangu mimi nawe na siyo kesho.Kataa utawala unaokukandamiza na fanya maamuzi sahihi katika maisha yako na ya wapendwa wako,kataa mateso na umaskini.
Ni rahisi kugundua ni nani au chama kipi cha kukichagua kwa wakati huu kwa kuangalia tu chama ulichokipa dhamana ya maisha yako ktk miaka kadhaa iliyopita ,chaguo ni letu sisi tupigao kura kwani sisi ndiyo mabosi wa wale watakaotuongoza.
Kura yangu ntampa Lowassa aliyekataa mfumo wa utawala mbovu na kuja katika utawala wenye kujali wananchi ,wenye kujua thamani ya maisha ya kila Mtanzania .
WAKE UP its TIME ,WAKE UP its TIME FOR CHANGE .