singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536

kuna wafanyabiashara walikuwa hawagusiki ila kwa awamu ya tano watazidi kuisoma namba
sio chuki, anafanya kazi kama inavyopaswa kufanywa, kama unafanya biashara lipa kodi, vinginevyo hatua zinachukuliwaHii chuki ya awamu hii dhidi ya wafanyabiashara wakubwa sio health kabisa kwa uchumi wa taifa, no wonder hata bandarini kunazidi kudorora
Akiwaacha wakwepe kodi napo mtakuja juu,mara aah rais anawaogopa, mara anawabeba wafanyabiashara na kuwabana walalahoi. Hakuna namna ndo hivyo tena inabidi walipe tu.Hii chuki ya awamu hii dhidi ya wafanyabiashara wakubwa sio health kabisa kwa uchumi wa taifa, no wonder hata bandarini kunazidi kudorora
Lazima walipe kodi nchi inaendeshwa kwa kodi nduguHii chuki ya awamu hii dhidi ya wafanyabiashara wakubwa sio health kabisa kwa uchumi wa taifa, no wonder hata bandarini kunazidi kudorora
Upendo kwa wafanyabiashara wakubwa ni kuwaacha wakwepe kodi?Hii chuki ya awamu hii dhidi ya wafanyabiashara wakubwa sio health kabisa kwa uchumi wa taifa, no wonder hata bandarini kunazidi kudorora
Zikilipwa hizi million hamsini kila kijiji itawezekanaBarrick Gold katumbuliwa tayari nae... Anadaiwa billion 89
Naona unachukulia kila kitu very serious.Neno kwa neno.Linakukereketa mpaka basi .Duuh wabongoooooooooooooo"Hapa ni kwetu na nikifa nitaletwa kuzikwa Chato ...". Tunajua Rais anapenda kuona mambo yanakwenda ila sometimes anakuwa na mihemuko mikali kupitiliza. Hiyo statement haijakaa vizuri; tunajua kila mtu atakufa ila atazikwa wapi hilo ni suala la wosia; ni suala la kifamilia zaidi ya public. Au ndio ameshatoa mwelekeo kwa taifa mahali atakapopumzika baada ya safari hii? Nilimwona pia akitembelea makaburi ya familia akiwa na Odinga; ile ilitakiwa kuwa private sana badala ya kuwekwa hadharani ...