Run Android Apps On you PC for windows

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Wakuu cjui kama hii kitu mnaijua
Katika pita pita yangu nimeona kwamba unaweza ku-run android apps katika pc e.g WhatApp etc

Kwa atakaye kuwa interested

for windows 8 ENJOY IT

for other windows ENJOY IT
 
Yah nilishaiona hii kitu kwa chali angu
 
Wakuu cjui kama hii kitu mnaijua
Katika pita pita yangu nimeona kwamba unaweza ku-run android apps katika pc e.g WhatApp etc

Kwa atakaye kuwa interested

for windows 8 ENJOY IT

for other windows ENJOY IT
Mkuu unge search kwanza kabla ya kupost uzi mpya, hii imekwisha wekwa jamvini mara kibao
 
Wakuu cjui kama hii kitu mnaijua
Katika pita pita yangu nimeona kwamba unaweza ku-run android apps katika pc e.g WhatApp etc

Kwa atakaye kuwa interested

for windows 8 ENJOY IT

for other windows ENJOY IT

inakuje hii embu tupe maujuz kwanza....
 
inakuje hii embu tupe maujuz kwanza....
mapunda we download ukimaliza install like itabidi uwe connected kwenye internet Ikimaliza kuna dutton ya my apps na search apps hiyo itakuwa yakukuonesha app ulizonazo au kusearch app e.g fb twitter,WhatApp nk
 
mkuu chief-mkwawa unahitajika hapa hivi hii naweza kupiga nayo na Bolt browser kwenye PC
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unge search kwanza kabla ya kupost uzi mpya, hii imekwisha wekwa jamvini mara kibao

kweli jambo la bluestacks imejadiliwa hapa mara kibao, NingaR hujakosea. and besides, kuna a better app at android emulation..
 
kweli jambo la bluestacks imejadiliwa hapa mara kibao, NingaR hujakosea. and besides, kuna a better app at android emulation..

mkuu hizondo constructive idea so inabidi update uzi kwa kuweka hiyo new version na je hiyo yakutumia bolt browser unaijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…