NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,858
- 5,142
Maeneo ya kuzaliwa sio hoja mbele za mungu ila umefanya nini kwenye jamii.ÝESU amezaliwa kwenye hori la ng'ombe lakini ameukomboa ulimwengu bila kutumia silaha.Nyerere amezaliwa Butiama lakini umaarufu wake hauna kifani.Mengi amezaliwa Machame amelala na mbuzi lakini ni maarufu.Ruge amezaliwa Broklyn naye ameleta makubwa.Hapana tuangalie maeneo waliyo zaliwa
sijatokea pwani na hapo nimejitaidi.............Em orodhesha hapa hazi moja kama siyo hadhi kama ulivyojiandikia hapa ambayo wanayo.
sijatokea pwani na hapo nimejitaidiHahaha
Umenikumbusha wajaluo wa Kenya [emoji23][emoji23]
Mambo ya Imani yako acha huko huko kwenu..Yesu kamkomboa nani kafanya yapi makubwa hapa duniani?Kama kashindwa kuvumbua umeme na aliye vumbua tusemeje?Maeneo ya kuzaliwa sio hoja mbele za mungu ila umefanya nini kwenye jamii.ÝESU amezaliwa kwenye hori la ng'ombe lakini ameukomboa ulimwengu bila kutumia silaha.Nyerere amezaliwa Butiama lakini umaarufu wake hauna kifani.Mengi amezaliwa Machame amelala na mbuzi lakini ni maarufu.Ruge amezaliwa Broklyn naye ameleta makubwa.
Kuna watu wanadhani kuzaliwa nje ya nchi sio kijijini kwao ni sifa tunawajua hawa wapenda sifa.
Ni sawa na watu wawili waligongwa na gari mmoja anatamba amegongwa na gari la raisi anamcheka aliyegongwa na mkokoteni ila wote majeruhi wako ward moja
Aah kivipi? Sikuuona!Nadhani baada ya mazishi ya Mwalimu Nyerere hajapata kutokea Mtu yeyoye ambae Msiba wake ulikuwa Mkubwa kama Ruge Mutahabaaa.... Ruge was someone special aisee nchi ilitetemekaaa...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Labda kujirusha. Dubai Alienda kula raha!Chanzo Cha kifo chake NI kipi?
Naona hawajaeleza. Au nacho NI Siri sirini?
Nadhani baada ya mazishi ya Mwalimu Nyerere hajapata kutokea Mtu yeyoye ambae Msiba wake ulikuwa Mkubwa kama Ruge Mutahabaaa.... Ruge was someone special aisee nchi ilitetemekaaa...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mkuu utaumia ujue yule ni wangu acha ujinga wewe nitakupiga shingo ya ngumi kiazi weweOngeeni yote ila klyn nimeshamuwahi
Sawa bwana na degrii zenu!Samahani wahaya hàtupendi kulinganishwa na wengine
alikuzwa na media sio kama alikua na hadhi hio (no offence)