ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Wewe unafanya kazi gani?Rugu huyu mshkaji namkubali sana wakati vijana wanasema hela ngumu mitaani ruge anakuja kuzisomba na masandaruzi na kusepa
Jamani maisha siyo magumu kama tunavyo aminishwa ishu ni kuwa na idea ya kupata hela
Ukiwa na kampani ya watu maskini na wewe unakuwa maskini
Ukiwa na kampani ya wanasiasa na wewe unakuwa mwanasiasa
Ukiwa na kampani ya matajiri na wewe unakuwa tajiri
Ukiwa na kampani ya watu wa fursa na wew unakuwa mtu wa fursa
Maisha unayo ishi wewe ndiyo uliyo yachangua!
Vijana tuachane na siasa za bongo tutafute hela
Aisee mecheka, kumbe host mwenye shoo ya WCB wasaf beach part ni clouds ikiongozwa na Ruge, ubuyu huo nimepata kwa kwa mtu wa karibu wa Ruby, mana naskia ruby alitaka kushriki bure kabisa lakini ruge aliwakatalia wasaf classic.
Nilichojifunza inawezekana kweli ruge ni mtu wa fursa na ideas za kumake money.aliwapa idea wasafi ya beach part, akaingia nao dau, sasa wao wamekuwa kama waalikwa.
Wahaya ni vichwa na Ruge ndo the think tank la clouds.
Sasa diamond promo zote zile kumbe unamfanyia promo RUGE.
Big up RUGE
Yeye ni jambaziWewe unafanya kazi gani?
sio alikuwaga ila ni mmiliki wa cloudsHivi Kussaga alikuaga nani clouds?