ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,894
Aisee mecheka, kumbe host mwenye shoo ya WCB wasaf beach part ni clouds ikiongozwa na Ruge, ubuyu huo nimepata kwa kwa mtu wa karibu wa Ruby, mana naskia ruby alitaka kushriki bure kabisa lakini ruge aliwakatalia wasaf classic.
Nilichojifunza inawezekana kweli ruge ni mtu wa fursa na ideas za kumake money.aliwapa idea wasafi ya beach part, akaingia nao dau, sasa wao wamekuwa kama waalikwa.
Wahaya ni vichwa na Ruge ndo the think tank la clouds.
Sasa diamond promo zote zile kumbe unamfanyia promo RUGE.
Big up RUGE