Kwahiyo Ruge alikuwa anampa Nañdy?
Basi huu ugonjwa ni ngumu Sana kuumaliza.
Walikuja kustuka baadae kuwa ndoa ni ujinga,Ruge hakuwa muoaji alikuwa anampanga tu NandyHata gadner alimuoa lady jay dee
Ruge alikuwa anaishi n zamaradi badae wakaachana sababu ya nandy na akataka kumchumbiq nandy
Kataa ndoa mbona sioni hapo
Tuenziii matemdooo yaoo ama manenioyaooo bwana weweeNimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.
Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia damu endapo ingehitajika, kwa umaarufu wao wasingekosa mtu wa kuwaletea uji hospitali, hata wangetaka mtu wa kuwapa figo wangepata.
Ruge alionekana kuwa happy na maisha yake japo kuna tetesi alikuwa anamchumbia Nandy.
Kibonde alikuwa ametoka kufiwa na mke wake mwaka mmoja ulliopita.
Gardna yeye amekuwa bachelor kwa miaka zaidi ya kumi.
Funzo tulilopata,hawa jamaa waliishi maisha yao na furaha usoni ilionekana, hawakutaka kuoa kufurahisha mtu.
Hawakuendekeza ndoa ila walihakikisha wamezaa watoto ili kuendeleza uzao.
Sio lazima kuishi miaka mingi 50 tu inatosha, kikubwa timiza kilichokuleta duniani, hao mabroo hakuna aliyevuka 51.
Bila ndoa hutoboi 50
😂😂Kataa ndoa Kwa kujiteteaWalikuja kustuka baadae kuwa ndoa ni ujinga,Ruge hakuwa muoaji alikuwa anampanga tu Nandy
Gadner alikuwa na mke wa ndoa ya kanisani mama Ake Karen akaachana nae ndio akamuoa Jide ndoa ya Serikali nayo ikafa chalii.Hata gadner alimuoa lady jay dee
Ruge alikuwa anaishi n zamaradi badae wakaachana sababu ya nandy na akataka kumchumbiq nandy
Kataa ndoa mbona sioni hapo
Mweaisee nikivuka miaka hii ntaanza kugegeda
sa ivi wacha nyeto iendelee kuchukua mkondo wake
proton pump
Kumbe nilikuwa sijui km alioa ndoa ya kanisaniGadner alikuwa na mke wa ndoa ya kanisani mama Ake Karen akaachana nae ndio akamuoa Jide ndoa ya Serikali nayo ikafa chalii.
ndo muoe sasaNimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.
Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia damu endapo ingehitajika, kwa umaarufu wao wasingekosa mtu wa kuwaletea uji hospitali, hata wangetaka mtu wa kuwapa figo wangepata.
Ruge alionekana kuwa happy na maisha yake japo kuna tetesi alikuwa anamchumbia Nandy.
Kibonde alikuwa ametoka kufiwa na mke wake mwaka mmoja ulliopita.
Gardna yeye amekuwa bachelor kwa miaka zaidi ya kumi.
Funzo tulilopata,hawa jamaa waliishi maisha yao na furaha usoni ilionekana, hawakutaka kuoa kufurahisha mtu.
Hawakuendekeza ndoa ila walihakikisha wamezaa watoto ili kuendeleza uzao.
Sio lazima kuishi miaka mingi 50 tu inatosha, kikubwa timiza kilichokuleta duniani, hao mabroo hakuna aliyevuka 51.
Bila ndoa hutoboi 50
Naona kuna shida kichwani, sidhani kama kuna mtu timamu chini ya jua anayeweza kujisifu kwa kupiga Punyeto. Kimwili we ni mgonjwa wa akili na kiroho, una mapepo.aisee nikivuka miaka hii ntaanza kugegeda
sa ivi wacha nyeto iendelee kuchukua mkondo wake
proton pump
Tena zaidi ya miaka 10Garder na jide tangu waachane imefika miaka 10?
Kuna mama ni mjane wa miaka 75 alifiwa akiwa na 35 Sasa imekuaje katoboa 51 au ndo tafiti za watoto wa mlimani?Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.
Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia damu endapo ingehitajika, kwa umaarufu wao wasingekosa mtu wa kuwaletea uji hospitali, hata wangetaka mtu wa kuwapa figo wangepata.
Ruge alionekana kuwa happy na maisha yake japo kuna tetesi alikuwa anamchumbia Nandy.
Kibonde alikuwa ametoka kufiwa na mke wake mwaka mmoja ulliopita.
Gardna yeye amekuwa bachelor kwa miaka zaidi ya kumi.
Funzo tulilopata,hawa jamaa waliishi maisha yao na furaha usoni ilionekana, hawakutaka kuoa kufurahisha mtu.
Hawakuendekeza ndoa ila walihakikisha wamezaa watoto ili kuendeleza uzao.
Sio lazima kuishi miaka mingi 50 tu inatosha, kikubwa timiza kilichokuleta duniani, hao mabroo hakuna aliyevuka 51.
Bila ndoa hutoboi 50
Gadner hakubahatika mtoto na Lady Jaydee?Mtoto wa Gadner ni mzuri, kataa ndoa oeni.
Tutajuaje kama kweli huyo mama yupo?Kuna mama ni mjane wa miaka 75 alifiwa akiwa na 35 Sasa imekuaje katoboa 51 au ndo tafiti za watoto wa mlimani?