mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Hizo PhD ni sawa na za chupiWana if.
nimefuatilia coverage nyingi ndani na nje jinsi gani Ruge alivyokuwa anaitumikia jamii, kikubwa zaidi alitumia raslimali watu, radio na nguvu zake mwenyewe kuinua vipaji. Duninian kila mtu ana kasoro zake lakini ukiweka mzania kafanya mazuri mengi. Kwanza kijana ndogo kumiliki radio na tv sio mchezo, kuwa na kampuni ambayo inafanya kazi ya kuingizia serikali kipato kwa muda mrefu bila kufirisika sio mchezo. Tumeona radio na tv zikidaiwa kiasi cha kutia huruma. Hata huvyo kurudisha watu kwenye game ambao washapotea kama Saida kalori sio mchezo. Hata kama kuna malalamiko kwa wanaodai kudhurumiwa naona sio kesi kwani hata waliko hawasogei zaidi ya lawama. Wengi tulikuwa hatuwajui lakini ni kama amewaleta mbinguni na wamefanikiwa.
Kipaji kipi alichokikuza? Na wale wasanii aliowaumiza mtampa nini? Uharo?Wana if.
nimefuatilia coverage nyingi ndani na nje jinsi gani Ruge alivyokuwa anaitumikia jamii, kikubwa zaidi alitumia raslimali watu, radio na nguvu zake mwenyewe kuinua vipaji. Duninian kila mtu ana kasoro zake lakini ukiweka mzania kafanya mazuri mengi. Kwanza kijana ndogo kumiliki radio na tv sio mchezo, kuwa na kampuni ambayo inafanya kazi ya kuingizia serikali kipato kwa muda mrefu bila kufirisika sio mchezo. Tumeona radio na tv zikidaiwa kiasi cha kutia huruma. Hata huvyo kurudisha watu kwenye game ambao washapotea kama Saida kalori sio mchezo. Hata kama kuna malalamiko kwa wanaodai kudhurumiwa naona sio kesi kwani hata waliko hawasogei zaidi ya lawama. Wengi tulikuwa hatuwajui lakini ni kama amewaleta mbinguni na wamefanikiwa.
Udaktali ndio nini , hebu rudi darasaniWana if.

Kwa maoni yangu na wengine naona atunukiwe udaktali wa heshima ili kumhenzi kwa alivyotumikia jamii. Hata JK, JPM wameliona hili bila kumsahau JM
Mhh walioumia wachache kuliko waliotoboa kimaisha. Hata ccm ilitoboa bila yeye JK kwa Dr.Slaa angeisoma namba over.Kipaji kipi alichokikuza? Na wale wasanii aliowaumiza mtampa nini? Uharo?
Wacheni upunguani, kisha kufa azikwe. PhD itamsaidia nini saa hizi?
mama mbona dini yetu hairuhusu watu kutukanana jamaniiii unamuita punguaniiKipaji kipi alichokikuza? Na wale wasanii aliowaumiza mtampa nini? Uharo?
Wacheni upunguani, kisha kufa azikwe. PhD itamsaidia nini saa hizi?
Ruge alikuwa mwana CCM halisi, CCM hutumia maskini kupata kura na baada ya uchaguzi wanaachwa wapambane na hali zao.
Na kwa namna moja amehusika kufifisha democrasia mchini na alionekana mzuri kw nje anaelemwnt za kubite na kupuliza Sism wameiweka wazi kuwa alikuwa waoRuge alikuwa mwana CCM halisi, CCM hutumia maskini kupata kura na baada ya uchaguzi wanaachwa wapambane na hali zao.