Ruge Mutahaba apewe udaktari wa kukuza vipaji kabla hajazikwa

Wana if.
nimefuatilia coverage nyingi ndani na nje jinsi gani Ruge alivyokuwa anaitumikia jamii, kikubwa zaidi alitumia raslimali watu, radio na nguvu zake mwenyewe kuinua vipaji.

Duninian kila mtu ana kasoro zake lakini ukiweka mzania kafanya mazuri mengi. Kwanza kijana ndogo kumiliki radio na tv sio mchezo, kuwa na kampuni ambayo inafanya kazi ya kuingizia serikali kipato kwa muda mrefu bila kufirisika sio mchezo. Tumeona radio na tv zikidaiwa kiasi cha kutia huruma.

Hata huvyo kurudisha watu kwenye game ambao washapotea kama Saida kalori sio mchezo. Hata kama kuna malalamiko kwa wanaodai kudhurumiwa naona sio kesi kwani hata waliko hawasogei zaidi ya lawama. Wengi tulikuwa hatuwajui lakini ni kama amewaleta mbinguni na wamefanikiwa.

Kwa maoni yangu na wengine naona atunukiwe udaktali wa heshima ili kumhenzi kwa alivyotumikia jamii. Hata JK, JPM wameliona hili bila kumsahau JM

Labda kuwa R-Kerly mabinti wetu huko THT.
 
itasaidia nini
 
Hivi Udaktari umekuwa maji ya kuchamba kwamba ukienda chooni utayakuta , tuache unafki Watanzania , hili Jambo si mngelisema wakati yupo hai , mkimpa sasa hivi itamsaidia nini

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Kipaji kipi alichokikuza? Na wale wasanii aliowaumiza mtampa nini? Uharo?

Wacheni upunguani, kisha kufa azikwe. PhD itamsaidia nini saa hizi?
Kiswahili kigumu sana. Alikuwa anaibua/anakuza vipaji Au alikuwa anatoa platforms kwa wenye vipaji ili waoneshe vipaji vyao?

Ila kumuongelea mtu in past tense inauma. Pole tena kwa wote walioguswa na msiba huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana if.
nimefuatilia coverage nyingi ndani na nje jinsi gani Ruge alivyokuwa anaitumikia jamii, kikubwa zaidi alitumia raslimali watu, radio na nguvu zake mwenyewe kuinua vipaji.

Duninian kila mtu ana kasoro zake lakini ukiweka mzania kafanya mazuri mengi. Kwanza kijana ndogo kumiliki radio na tv sio mchezo, kuwa na kampuni ambayo inafanya kazi ya kuingizia serikali kipato kwa muda mrefu bila kufirisika sio mchezo. Tumeona radio na tv zikidaiwa kiasi cha kutia huruma.

Hata huvyo kurudisha watu kwenye game ambao washapotea kama Saida kalori sio mchezo. Hata kama kuna malalamiko kwa wanaodai kudhurumiwa naona sio kesi kwani hata waliko hawasogei zaidi ya lawama. Wengi tulikuwa hatuwajui lakini ni kama amewaleta mbinguni na wamefanikiwa.

Kwa maoni yangu na wengine naona atunukiwe udaktali wa heshima ili kumhenzi kwa alivyotumikia jamii. Hata JK, JPM wameliona hili bila kumsahau JM

Mtunuku wewe, hujakatazwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom