Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Hamkuandaa maandalizi ya kumhujumu kweli? Hii habari iko sawia na kilichotokea, japo ilikuja mapema sana.Ikiwa imebaki siku chache kufanyika tamasha kongwe la Fiesta,kumetokea kuzorota na kukosa msisimko kabisa kwa tamasha ili tofauti na miaka ya nyuma..ni kana kwamba Ruge mwaka huu ategemee maumivu makali sana kwa uchache wa maudhurio.
Hali hii sijui imetokana na nini,ni kukosa jipya(ubunifu)? wananchi kukinai? au tukio la Eatv kuwa pre empty kwa kutangaza vizuri show ya Psquaire.?
Labda kukosekana kwa msanii wa kimataifa wa kueleweka,maana wasanii toka nje wa safari hii ni utumbo mtupu sijui Davido,Jmartins, Allein yani ni bora wangemaimamisha Diamond kuwa main perfomer,pengine hii nayo imechangia.
Ila kwa kifupi Ruge na fiesta mwaka huu wamefulia mpaka noma sanaa!!
Tunasubiria Show ya Psquaire.
Hamkuandaa maandalizi ya kumhujumu kweli? Hii habari iko sawia na kilichotokea, japo ilikuja mapema sana.
Kulitokea nini?daah kwa nilichokiona jana usiku..!nimeani kweli fitna ni noumer
Ruge inabidi ajue roy anamkimbiza kimyakimya kwani ile kili music tour na ujio wa p square umeidhoofisha fiesta na hata wasanii wamekuwa pande mbili. .juzi nilikuwa maisha club kule v.i.p akaja davido na company yake, kuthibitisha hakubaliki watu walimvalia kama hawamuoni na wasanii kibao hawakumjoin zaidi ya diamond na vimalaya vichafu ila wanyamwezi tulikuwa hatuna
habari...next tym ruge alete mtu anayekubalika bongo si hawa wa kuungaunga
Mkuu Roy ni nani?
Ruge inabidi ajue roy anamkimbiza kimyakimya kwani ile kili music tour na ujio wa p square umeidhoofisha fiesta na hata wasanii wamekuwa pande mbili. .juzi nilikuwa maisha club kule v.i.p akaja davido na company yake, kuthibitisha hakubaliki watu walimvalia kama hawamuoni na wasanii kibao hawakumjoin zaidi ya diamond na vimalaya vichafu ila wanyamwezi tulikuwa hatuna habari...next tym ruge alete mtu anayekubalika bongo si hawa wa kuungaunga
Sasa wewe umekuaje limedorola wakati haijafanyika?,pia umesema kukosekana msanii wa kimaraifa,sasa huyo p square si ni nigeria sawa na hawa akina davida na jmartin?,au umetumwa?,maana hueleweki ati unataka kusema nini hapa
listen to sacrifice, take all my love.... utamtaka.
Sasa wewe umekuaje limedorola wakati haijafanyika?,pia umesema kukosekana msanii wa kimaraifa,sasa huyo p square si ni nigeria sawa na hawa akina davida na jmartin?,au umetumwa?,maana hueleweki ati unataka kusema nini hapa