Rufaa vyeti feki/utata hadharani

Yeah, ni ambaye anahusuka Human Resource Manager (Recruitment & Selections)... Mimi nipo upande wa Shirika la umma Mkuu.
kuwa na subira ndugu ,majibu utayapata soon
 
Kwani mkuu waliokuwa na vyeti vya utata na incomplete nao walisimamishiwa mishahara hayo?
 
Kwani mkuu waliokuwa na vyeti vya utata na incomplete nao walisimamishiwa mishahara hayo?
incomplete hawakusimamishiwa walipewa miezi 3 kuwasilisha vilivyokosekana.vyeti vyenye utata walisimamishiwa.Kumbuka vyenye utata ni wale waliooneka vyeti vyao vinatumika zaidi ya Halmashauri/taasisi moja,walisimamishiwa ili kubaini mwenye vyeti ni nani
 
Kilichobaki kwa hili gazeti ni KUFUTWA KABISA
 
Itakuwaje kama nafasi zao wengine wamechuka kuteuliwa kupitia barua rasmi na kuajiriwa
 
Wewe tatizo lako ni tofauti na mtumishi hewa au aliyegushi. Kama uliwasilisha vyeti vyako OG upya wakahakiki upya ni vizuri na utarudishwa tu kazini tulizana moyo. Hii haimaanishi kwamba kila aliyeondolewa utarudishwa,bali wasafi tu
 
Ni kweli wapo waliocheza na matokeo, wengine imewakuta Bahati mbaya na watu walikuwa wanaitwa NECTA.

Nafikiri upembuzi wa maana utafanyika
 
Mkuu kunamtu kanipigia orodha ya majina imetoka, lakini bado haijanifikia.
 
Tumeshasahau na tumeanza shughuli za kilimo
 
Vp nawale waliogushi wakaenda kulalamika yametoka au yametoka yaliokuwa na utata tu?imean waliochangia vyeti tu
 
Wapewe haki zao zote toka waliposimamishwa hadi sasa.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…