Habari wana bodi
Mimi ni mkazi wa Arusha.Natafuta soko la Ruby,pure Ruby ya kiwango cha juu.mfafanuo wake uko hivi
Block 100kgs
kapishon 20kg
sociate tani 20.
kwa yeyote ambaye ni mnunuzi au anamjua mnunuzi tafadhali ni pm au acha comment nitakujibu.
Ahsante.