Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 288
- 412
Nadhani wangetumia muda huo kutuambia alipomfanyabiashara wetu, hivi anajua Familia wanapitia wakati gani? Aache mbwembweππ¨Jana nimeona Kamanda wa Polisi Mwanza SACP MUTAFUNGWA akielezea kupiga marufuku mikusanyiko ya Chadema hapa Mwanza.
Nikakumbuka Wiki kadhaa nyuma kuna mfanya biashara aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mpaka leo jeshi hilo pamoja na Intelijensia waliyonayo ya kung'amua mambo hawajatuambia alipo mfanya biashara yule.
Ila intelijensia yao imewaambia mapema eti Chadema wanaandaa mikusanyiko kiukweli haya ni Maajabuπ€£π€£.
Nadhani wangetumia muda huo kutuambia alipomfanyabiashara wetu, hivi anajua Familia wanapitia wakati gani? Aache mbwembwe
Jana nimeona Kamanda wa Polisi Mwanza SACP MUTAFUNGWA akielezea kupiga marufuku mikusanyiko ya Chadema hapa Mwanza.
Nikakumbuka Wiki kadhaa nyuma kuna mfanya biashara aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mpaka leo jeshi hilo pamoja na Intelijensia waliyonayo ya kung'amua mambo hawajatuambia alipo mfanya biashara yule.
Ila intelijensia yao imewaambia mapema eti Chadema wanaandaa mikusanyiko kiukweli haya ni Maajabuπ€£π€£.
Nadhani wangetumia muda huo kutuambia alipomfanyabiashara wetu, hivi anajua Familia wanapitia wakati gani? Aache mbwembwe
wakina nani watafungwa ?Mtafungwa...... π
Mtafungwa πwakina nani watafungwa ?
Hawajigunzi tuu kwamba cheo ni dhamana siku yoyote kinapotea!Ukizingatia kwenye press yake hata wale jamaa zake wa pembeni walikua wanashangaa anachokisoma. Ni upumbavu mtupu πππππππ
Dah acha kabisa,Nasikia na huko mwisho wa reli ffu wametanda barabara zote zinazoingia mjini ili kuzuia wanaotaka kufanya fujo mahakamani.
Wakishavaaga vijezi vyao vile wanajionaga kama miungu watu hv. maisha magumu wanaishi bora hata waalimuπππππππππππPolice watumwa tu
Wapi Huko?kwani tanzania kuna polisi mwenye akili hata mmoja? wanashikiwa akili na masiisiiiemu pamoa na minyota yao mabegani, unasaidia watu wenye maisha mazuri ila wewe unakaa kwenye fulusuti na bado unatumika tu, wakistaafu wanahangaika na wanasiasa haohao wawasaidie kufukuzia vimafao vyao kiduchu.imagine lile zee staafu la dodoma sasahivi limeajiriwa kwenye kampuni ya ulinzi stupid.
kwenye migodi huko kanda ya ziwa fuatilia utajua hadi anacholipwa maamae na alikua na minyota na kukejeli watu kuwa atawapiga kipigo cha mbwa kokoWapi Huko?
Maisha haya ni kama upepo ili kuzuia ni kupanda miti!kwenye migodi huko kanda ya ziwa fuatilia utajua hadi anacholipwa maamae na alikua na minyota na kukejeli watu kuwa atawapiga kipigo cha mbwa koko