RPC Mwanza aruhusu maandamano ya CHADEMA

makamanda wa mwanza na kagera ni wastaraabu na wanafata sheria,tofaut na mikoa mingine
 

Now that is typical majukumu ya polisi. Ingawa haikuwa muhimu kabisa kwa RPC kuhusika kwani kisheria hilo linatakiwa kushughulikiwa na OCD wa eneo hilo.

But any ways nawapongeza kwa kuonyesha kutambua wajibu wao ipasavyo.
 
Mara nyingi wahindi ndo walikua wanazuia maandamano, baada ya wananchi kugundua na hasa wamachinga, wakaanza kuponda kwa mawe nyumba na magari yao.
Ili kuepuka kuharibiwa mali zao, sasa hawazuii tena maandamano.
 
Ameng'oka? Au ndo kelele za chura.............
 
mwanza akikisha uyo meya wa kichina anang'oka

Atang'okaje wakati hata strategy za kumng'oa hawazijui. Wao wanafikiri kila mtu anaweza kung'olewa kwa njia ya maandamano
 
Huyu meya ni bongo lalwa kamtishia kamanda Highness atamtoa roho kwa kibastola chake cha mchina.... shame on him. Polisi wakiwa makini kama Mangu wapuuzi kama huyu meya watafyata mkia.
 
Nasikia mabomu yanapigwa, mkuu wa mkoa kawaagiza polisi watekeleze Pinda legacy!!!
 
Umeambiwa Usifanye hiki, Ukaamua kukaidi, utapigwa tu... Hamna namna nyingine, Maana WOTE TUKUBALIANE KWAMBA NCHI HII TUNAIENDESHA KWA MISINGI YA KISHERIA.Sasa kama wewe umekaidi, Hutaki unaona kwamba ni imara zaidi... wewe ndiyo jeuri zaidi watakupiga tu.... Mimi nasema muwapige tu, Kwa sababu hakuna namna nyingine... Maana tumechoka.
 
kubariki kwa kamanda mangu mandamano lakini mabomu yamepigwa kweli hapa nera, baada ya wafuasi wa chadema kusubiri mkuu wa mkoa alisema atayapokea maandamano hayo bila kutokezea, huku viongozi wa chadema wakiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa kujua kulikoni . nchi hii tutakoelekea sijui wadau mtanisaidia
 
Nasikia mabomu yanapigwa, mkuu wa mkoa kawaagiza polisi watekeleze Pinda legacy!!!

Duh, polisi wetu wana hatari, yaani wanatekeleza amri ya Mkuu wa mkoa! Hawa polisi kwa ushirikiano wao na CCM watasababisha maafa makubwa siku si nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…