ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 642
Wasalaam RPC Leonard Paul nimeamuma kukuandikia waraka huu nikitambua wewe ndo kiongozi was ngazi ya juu wa jeshi la polisi katika mkoa huu wa Tanga.Kamanda hali si shwari mkoani Tanga kwa sasa kwani kumejitokeza wimbi kubwa la mtandao wa majambazi wanaotumia silaha za moto kupora , kujeruhi na kuua raia wasio na hatia . Kamanda paul kwa kuangalia aina huu ya ujambazi nachelea kusema kwamba hawa majambazi hawawezi kulishindwa jeshi lako mheshimiwa RPC hata kidogo.Ujambazi wao hua wanaufanya mara nyingi nyakati za usiku kwa kuvamia vibanda vya kutoa huduma za fedha , na sehemu nyingine za kibiashara.
Mheshimiwa RPC wik nne zilizopita kulitokea ujambazi wa kuvamia kituo cha mafuta cha TOC ambapo mashuhda wanasema majambazi walitamba sana kiasi cha kuweza kukaaa takribani dakika 15 pasipo polisi kutokea ilihali simu zilipigwa na hawakutokea kwa wakati .
Kwa jiografia ya mkoa wetu huu hauna msongaomano was magari hats kidogo watu wakajiuliza kulikoni???
Lakini wanachi wanapopiga simu kuhusina na mizigo ya magendo askari wako hua hawachukui muda mrefu wanakua washafika eneo LA tukio lakini kwenye matukio ya majambazi nini hua kinawasibu mpka wanachelewa mpka watu wanaumizwa na kupoteza maisha yao na wahalifu hao.
Maeneo ambayo ujambazi umekithiri in pongwe donge makorora na Kange tunaomba doria haswa za usiku ziimarishwe na askari waongezwe mtaaani ili kuwadhibiti wahalifu hawa maana sasa hivi hali ni mbaya ni wastani wa tukio moja ndani ya mwezi mmja.
Nasema doria za usiku ziongezwe kwa maana ya kwamba ujambazi mwingi hua unafanyika majira ya usiku kwa kuongeza doria itakua rahisi kupambana na wahlifu Hawa.Tazama tukio la jana usiku majamabzi wameua raia wasio na hatia maeneo ya kati kati ya jiji bila kukamatwa je wale wananchi waishio maneneo ya nje ya mji itakuaje??
Kamanda Paul sina shaka na uongozi wako uliotukuka Tafadhali naomba usikilize kilio cha wananchi wako na ukifanyie kazi ili kurudisha tanga ya amani kama iliyokuwako miaka ya nyuma.
Mimi naamimi kwa kupitia timu yako ya intelijensia inaweza kuawakamata wahalifu hawa ndani ya muda mfupi sana .Kamanda tunakutegemea sana na tunaamani utaweza kuuvunja huu mtandao wa ujambazi hapa mkoani petu. Nikupe pole kwa tukio la Jana na nikutakie majukumi katika ujenzi wako was taifa mheshimiwa kamanda Paul.
Wasalaaam.