Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,924
- 3,904
England has never been among the big boys in soccer apart from 1966 where soccer was not at full blown size, sielewi ni kwa nini wanajilazimisha waonekane kama ni taifa kubwa, binafsi niliitabiria kutoka ktk makundi.
Hawa jamaa kwenye kufuzu walikomaa,friend match walishinda nyingi. Sielewi kwa nn wamevurunda kiasi hili.England has never been among the big boys in soccer apart from 1966 where soccer was not at full blown size, sielewi ni kwa nini wanajilazimisha waonekane kama ni taifa kubwa, binafsi niliitabiria kutoka ktk makundi.
Hahaaaa kwa nn ashtakiwe?? Walitaka kocha muingereza ndo huyo kawafikisha hapo walipo. Jana Kevin Kegan alikiri hamna kocha mwingereza anaweza kuinoa timu hiyo na sababu kubwa ni kwamba karibu club kubwa zote UK hamna mwingereza anyezionoa.Huyu mzee anastahili kushitakiwa .
Amelitia hasara taifa lake , utamuachaje Vardy nje ?Hahaaaa kwa nn ashtakiwe?? Walitaka kocha muingereza ndo huyo kawafikisha hapo walipo. Jana Kevin Kegan alikiri hamna kocha mwingereza anaweza kuinoa timu hiyo na sababu kubwa ni kwamba karibu club kubwa zote UK hamna mwingereza anyezionoa.