J JF2050 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 2,085 Reaction score 45 Aug 6, 2012 #1 Wakati sisi tunasumbuliwa na mambo madogomadogo kama njaa na malaria, wenzetu wanafanya uchunguzi kwenye sayari zingine, angalia link hiyo hapo chini. NASA's Robot Lab Curiosity Nears Mars - WSJ.com Je, sisi itatuchukua muda gani kupata uwezo wa kisayansi kama wao?
Wakati sisi tunasumbuliwa na mambo madogomadogo kama njaa na malaria, wenzetu wanafanya uchunguzi kwenye sayari zingine, angalia link hiyo hapo chini. NASA's Robot Lab Curiosity Nears Mars - WSJ.com Je, sisi itatuchukua muda gani kupata uwezo wa kisayansi kama wao?