Kwa kifupi router ni network device ambayo inafanya kazi ya kufilter na kudirect data packets kwenda ktk aimed system(computer). Hufanya hvyo kwa kusoma destination adres ktk data packets inazopokea. Cjui umenpata what router realy is.?
nunua dlink wireless router ya 8ports itakufaa zaidi kwa laptop utaunga kwa wireless na device nyingine kama printer na desktop ndio unaweza tumia cable, price inategemea na muuzaji ipo kati ya 120000 hadi 150000
Samahani wakuu. Je internet Tanzania inapatikana kwa cable? Nimekuwa nikitumia internet ya vodacom kwa kutumia modems za kuweka sim card. Hapa nilipo napata internet kwa cable. Kutoka hapo ndipo nimeunganisha modem yangu yenye router ambapo napata wifi kwa laptops na vifaa vingine vya wifi.