Router zinahitajika

Shombe la Kisomali japo umefuta comment yako lakini nakujibu..

Router ni device ambayo inasaidia kufanya routing ya data(internet) ili ziigie kwenye device nyingine..
Zitoke kwenye modem ziingie kwenye switch ziingie kwenye router.. router inaanza kuzipitisha ziingie kwenye laptop, desktop,simu, printer
 
Sawa, mkuu sema nilishatafuta kwa dictionary so nikaona nisikusumbue ila asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…