Mbonea mweta Senior Member Joined Sep 4, 2018 Posts 140 Reaction score 40 Sep 27, 2018 #1 hivi TCU wamekosa misimamo ya kuondoa majina ambayo wameshindwa kuconfirm ili kuruhusu nafasi hewa zijazwe na watu?????halafu TCU ratiba yenu mbona hamuifuati???watu wanalia 3rd round na hakuna vyuo au mlivyoweka D mbili mlitumwa????
hivi TCU wamekosa misimamo ya kuondoa majina ambayo wameshindwa kuconfirm ili kuruhusu nafasi hewa zijazwe na watu?????halafu TCU ratiba yenu mbona hamuifuati???watu wanalia 3rd round na hakuna vyuo au mlivyoweka D mbili mlitumwa????