Rostam Ni Kitu gani Bwana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam Ni Kitu gani Bwana!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ndyoko, Feb 5, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Huwa najiuliza sana kwa nini watendaji wanapopata skendo wengi wao huishia kupoteza maisha tena muda mfupi baada ya skendo zao kubumbuluka au wanapokataa 'wishes' za wanasiasa. Lakini inapokuja kwa wanasiasa wengi huwa wanadunda tu tena kiulaiiini. Najaribu kumkumbuka balali, ndani ya muda mfupi, ni yeye tu kati ya msururu wote wa wanasiasa aliyekufa kama mtendaji (sio mwanasiasa). Wengine wote wapo hai. Kumbuka issue ya Rutihinda na kambona pia.

  Nadhani kuna haja sasa ya 'kuwaondoa duniani' watu aina ya Rostam pengine itakuwa dawa kwa wanaodhani wanaweza kucheza na watanzania wanaokaribia millioni 40. Kwa nini sisi tushindwe wakati China wanaweza na mkakati huu umeonekana kusaidia kurudisha watu kwenye Mstari? kama polisi wameweza kuua Arusha 'for a noble course why not applying the same to make Rostam extant?

  Yes, we can. Let's do it once anf for all"
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,381
  Likes Received: 3,141
  Trophy Points: 280
  Sijui tunamuogopa niniu fuyu mbwa rostamu...............nchi na watz wote amewaweka mfukoni?....nasikia hadi waziri mkuu lazima aombe ruhusa kwa rosdtamu kuhusu mambo fulani...........

  lawama zangu zote zinaenda kwa wakazi wa igunga wanaotuletea hawa wahamiaji wanaojifanya wasukuma na wanyamwezi...........kwa nini wanatulketea hawa watu hadi saerikalini?...wana igunga ndiyo wasaliti wa taifa hili hata km anauwezo wa kugawa mikate kwa wanaigunga wote lakini maslahi ya taifa kjwanza jamani angalia sasa kikwete kawa km makamu wa pili kwani rostamu na lowasa ni marais na wz mkuu poinda kikwete no kazi...wasukuma na wanyamnweazi mnadanganywa kwa kanga na siagi za rostamu huku watz tuinaangamia?
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Jile hapo umenena!
   
Loading...