Nationalist
Member
- Dec 3, 2008
- 30
- 8
With all due respect mkuu, tulishavuka zama za udhalilishaji wa namna hiyo. How dare you let your mind harbor such an outrageous thought! Over my dead body....yakitokea haya ukajikuta peke yako....we ni mtoto wa mjini kweli?Pinda hajakosea kabisa..hivi mnajua Rostam anaidai hii serikali kiasi gani??? Huyu ndio mfalme wa hii nchi siku akisema watanzania wote nataka leo mtembee na chupi tu barabarani ujue wewe mimi ndugu zetu wote tunachojoa nguo tunatembea na vyupi mpaka akisema inatosha ndio tunaacha...Halafu tunasema hii nchi ina uhuru wakati tunatawaliwa hivi hivi tunajiona!!