If you root your Samsung device, then you will be able to
install custom ROMs that are based on newer Android
versions which have more features and more customization
options. Rooting your device will also allow you to remove
any unwanted applications installed by the carrier or by the manufacturer
NB..
Use at your own risk...
Naomben jaman mnielekeze namna ya rooting natumia Android 4.0.4 version
Mkuu kama bado haujawa clear au advanced kwenye android app and rom..ucjaribu!! Utajijutia mkuu
Ni Kweli mkuu.Ndio maana naogopa naweza ku-blick ka simu kangu.Ila kuna apps natamani kutumia lakini zinataka rooted phones.
Mi natumia Samsung galaxy s2 plus ........ naweza root?
Hilo ndio tatizo ,wengine hatuyajui haya mambo !more details please kama sijaharibu kabisa!Jaribu framaroot
Mi natumia Samsung galaxy s2 plus ........ naweza root?
Mie natumia Samsung wave 3 naweza root?
Simu yeyote yenye android os inaweza kuwa rooted, cha kukusaidia tembelea forum inaitwa Xda-developers.com utapata namna ya root simu yako pamoja na custom rom