ROOTING TECNO and other mobiles

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,697
2,000
Kwa wale wanaohangaika ku-root simu zao za tecno na zinginezo. basi application hii hapa inaitwa kingo, ni rahisi sana kutumia na inafanya kazi chap chap. http://www.kingoapp.com/download/android_root.exe

nimeitumia na kuhakikisha,.

Rooting inakupa access ya system files, kwa mfano unaweza kubadilisha ile boot animation na ukaweka picha yako mwenyewe.pia kuondoa notification na milio usiyohitaji kamavile camera shutter,pia unaweza kuondoa pre-installed apps.

Angalia hapa chini hizi ni baadhi ya Boot animation images, ambazo unaweza kuzibadilisha na kuweka zako.

06.png 33.png 36.png 07.png
 
Mwandwanga

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
2,971
2,000
Samahani wakuu hivi nikirut cm naiweza solve tatizo la imei?

Nina tecno imefuta Imei.
 
Mwandwanga

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
2,971
2,000
Wadau wa jukwaa nikirut simu naweza kuwa nimesolve tatizo la Imei kwenye simu?

Nina tecno imefuta imei
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,697
2,000
Nimekupata ymollel. What do you need to do before running the app?

uwe na internet kidogo kama vile 15MB ili zitumike incase Driver ya simu yako haijapatikana, Pia unatakiwa ku enable USB debuging kwenye simu yako... kutokea hapo ni kiasi cha ku-connect simu yako wakati umeifungua hiyo program (Kingo) then hiyo program itaitafuta na ku detect simu yako (Ikishindwa ku detect , chomoa USB cable ya simu na uichomeke tena)... ikiwa detected CLICK ROOT na usubirie imalize.
 
Ihwa jnr

Member
Feb 4, 2014
19
0
Mkuu nimekutana na tatizo cm yangu haina drivers yan nime google drivers wapi, Cm yangu ni Vodafone smart mini.....nifaneje?
 
Kalunde James

Member
Mar 29, 2014
76
0
uwe na internet kidogo kama vile 15MB ili zitumike incase Driver ya simu yako haijapatikana, Pia unatakiwa ku enable USB debuging kwenye simu yako... kutokea hapo ni kiasi cha ku-connect simu yako wakati umeifungua hiyo program (Kingo) then hiyo program itaitafuta na ku detect simu yako (Ikishindwa ku detect , chomoa USB cable ya simu na uichomeke tena)... ikiwa detected CLICK ROOT na usubirie imalize.

Kumbe naroot kwa kutumia compyuta mkuu!!
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,697
2,000
kuhusu maana ya kuroot sim hata mi sijui ila faida zake ametoa baadh hapo juu kwenye post yake hvyo jaribu kurejea wakt tunasubil maana ya kuroot sim mkuu!

Ku-Root ni kupata access ya vitu ambavyo ulikuwa umenyimwa kuvifanya au kuviona. kwa mfano: kutoa zile program zinazokuja na simu ambazo hauzihitaji na zinapunguza storage, unaweza pia kufanya SD card ikatumika kama RAM (Hii inahitaji software maalum) , unaweza kuondoa ile milio ya camera na ile ya wakati wa kuwasha na kuzima simu kwa zile simu zisizo na option hiyo.
 
shukran nimekupata mkuu
 
Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,252
0
Ku-Root ni kupata access ya vitu ambavyo ulikuwa umenyimwa kuvifanya au kuviona. kwa mfano: kutoa zile program zinazokuja na simu ambazo hauzihitaji na zinapunguza storage, unaweza pia kufanya SD card ikatumika kama RAM (Hii inahitaji software maalum) , unaweza kuondoa ile milio ya camera na ile ya wakati wa kuwasha na kuzima simu kwa zile simu zisizo na option hiyo.

ymolell, ahasante sana. Nimefanikiwa. Ila naomba jinsi ya kufanya SD itumike kama RAM, kuondoa milio ya camera. Tafadhali nisaidie
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom