Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,435 Reaction score 4,255 Dec 13, 2016 #1 Habari za mihangaiko ya maisha wanajamii,, naombeni msaada wa application ambayo naweza nikafanikiwa kuroot tecno y2,, maana nimejaribu kingroot latest version,, kingroot,, kingroot v4.1.0,, lakini zote hazikufanya kazi..
Habari za mihangaiko ya maisha wanajamii,, naombeni msaada wa application ambayo naweza nikafanikiwa kuroot tecno y2,, maana nimejaribu kingroot latest version,, kingroot,, kingroot v4.1.0,, lakini zote hazikufanya kazi..