Rooting Android 7

Rooting Android 7

Denis Anointed

New Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Najaribu ku-root Android 7 bila kutumia pc na inaniletea shida. Msaada katika tuta.
 
Mi nina tumia android nilashairoot kitambo tokea mwezi wa nne mwaka huu...best inahitaji kuwa expert kidogo KWANZA TAFUTA CORRECT FILES ZA RECOVERY MODE NA LA SUPER USER THEN FINALLY WINDOWS OS NA APPLICATION YA ODIN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4c12179f1661de55b7328e01e4a01c48.jpg
 
Najaribu ku-root Android 7 bila kutumia pc na inaniletea shida. Msaada katika tuta.
Inabidi uwe specific kidogo maana simu tofauti mara nyingine huwa na njia tofauti za kuroot hata kama ni android version moja, ungeongezea labda ni simu ya aina gani na model yake ingekuwa rahisi zaidi
 
Broda take care kuroot android 6.0 kuendelea n mpk PC hizo Kingroot,Kingoroot,iRoot, haziwezi kufunction utahangaika buree
 
Back
Top Bottom