Asante kwa ushauri mzuriNaona unatafuta matatizo kwa kujitakia mkuu....Nakushauri uachane na hayo mawazo kabisa.
.
Tatizo nini kampani au umepungukiwa kodi? kama ni kampani mchukue mdogo wako wa kuzaliwa nae uishi nae, na kama ni kodi basi subiri ukishakuwa na pesa iliyokamilika nenda kalipe.
.
ACHANA NA KU-SHARE MKUU
Niko tayari..but Mimi ni kidume..nina Kodi ya mwaka na sina vitu vya ndani..pia ni mwaminifu kuliko uaminifu wenyewe..karibu PMHabari wanajf
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Nahitaji roommate wa kike tushee room pamoja ili kusave gharama za kodi
Room ni nzuri na standard
Mhusika akiwa hana vitu vingi au hana kitu itapendeza zaidi
Rooom ipo mabibo mwisho
Kodi ni 60,000 kwa mwezi
Awe na hela ya miezi mitatu
Mhusika awe muaminifu maana mimi ni mtu wa kusafiri mara kwa mara.
Naona unatafuta matatizo kwa kujitakia mkuu....Nakushauri uachane na hayo mawazo kabisa.