Ronald tayari....Nilitaka Zidane abebe ila nadhan nayo sawa acha ranieri naye akacheke na wanae
Raniel kamzidi nini Zidane?Craudio Rainier daaaah resister kachukua kocha bora wa mwaka.
Hii itakuwa tuzo yake ya mwisho kuchukua kwa CR7, hivyo Leo Messi atabaki kuwa mchezaji pekee duniani aliyechukua tuzo za FIFA mara 5..Yes ni kweli naona Ronald kachukua tena...
Naona wameangali ligi ambayo ni thoughRaniel kamzidi nini Zidane?
Kanuna huko alipo aisee. Hahaha
Good [emoji106] [emoji471]Ronald tayari....
Ila hatoishiwa Maneno... Maana Tuzo za 2016 zote Ronaldo kazisomba,Makombe makubwa Ronaldo, na Mwaka huu pia mwendo mdundo so Messi asubiri hadi Magufuli atoke Madarakani au Ronaldo astaafu hihihihiKanuna huko alipo aisee. Hahaha
Considering mwaka huu hakuna kocha anaye fanya maajabu sana next year ana weza kuchukuaHata mimi nilitaka zidane but, Yes alijaribu 15/2016 naona wako fare
Safi sanaBest player of the world once again tonight in history........
Yule kawaida atakuja na mambo yasiyoeleweka.Ila hatoishiwa Maneno... Maana Tuzo za 2016 zote Ronaldo kazisomba,Makombe makubwa Ronaldo, na Mwaka huu pia mwendo mdundo so Messi asubiri hadi Magufuli atoke Madarakani au Ronaldo astaafu hihihihi
Wale jamaa huwa ni wabinafsi sana. Wangekuwa wana probability ya short wao kushinda tuzo wangelionekanaMkuu kwanini wote wamikimbia tuzo wachezaji wa Barcelona?
Hakuna hata mwakilishi wamesusa
Na King Cr 7 kawaweza kataja kuwa ana sikitika haja waona [emoji23] [emoji23]Wale jamaa huwa ni wabinafsi sana. Wangekuwa wana probability ya short wao kushinda tuzo wangelionekana