MGUU WA KUSHOTO KICHWA VYOTE HIVYO NI UPANDE MAGOLI.Magoli siyo kigezo pekee ambacho Ronaldo ana mziki Messi. Ronaldo ni mchezaji aliyekamilika wakati Messi ni mchezaji mwenye mapungufu mengi sana. Wakati miguu yote ya Ronaldo inafanya kazi kupiga mashuti, Messi anatumia mguu wa kushoto kwa zaidi ya ajili miaka 95. Matumizi ya kichwa kwa Messi ni kama Kakakuona kama ilivyotokea juzi, lakini kichwa cha Ronaldo ni habari nyingineeeeee. Uwezo wa kwenda hewani kugombea mpira Messi ni cha mtoto lakini RONALDO ni habari nyingine. Labda uwezo wa kukimbia hapo ndipo wanaweza kula sahani Moja!
Exactly!
Ronaldo ukiondoa magoli hamna kitu pale.
Messi ni fundi wa kutengeneza magoli na ni bonge moja la playmaker.
Uwezo wa messi mkubwa upo kwenye dribbling, ball control, passing (angaliegi mapande anayotengeneza, na labda kufunga magoli.
Sasa ronaldo anashindana na messi kwenye hicho kipengele cha magoli, vingine vyote messi anakimbiza mbali sana na wanaomfuatia ni hawa akina robben, neymar, na watu kama hao.
Ronaldo as a player ni average ila as a goalscorer ni a top two player
Sasa ukiondoa magoli utakuwa umeachana na mpira wa Miguu! na utakuwa unaongelea kitu kingine kabisa! Mchezo wa mpira wa miguu huwezi kuutenganisha na magoli! Angalau sasa mashabiki wa Messi wamewekewa takwimu zilizowafungua macho kuona kuwa hakuna mchezaji aliyewahi kutokea duniani mwenye kasi ya kufunga magoli kwa wastani wa goli 1.12 kwa mechi isipokuwa R7! Huyo Messi hana uwezo wa kupata hata goli moja kwa mechi! inabidi akope dakika kwenye mechi ya pili kuweza kupata goli moja. Wastani wa Messi ni goli 0.89 kwa mechi. Messi ni historia, habari iliyopo sasa kwenye ulimwengu wa soka ni R7!
Sasa ukiondoa magoli utakuwa umeachana na mpira wa Miguu! na utakuwa unaongelea kitu kingine kabisa! Mchezo wa mpira wa miguu huwezi kuutenganisha na magoli! Angalau sasa mashabiki wa Messi wamewekewa takwimu zilizowafungua macho kuona kuwa hakuna mchezaji aliyewahi kutokea duniani mwenye kasi ya kufunga magoli kwa wastani wa goli 1.12 kwa mechi isipokuwa R7! Huyo Messi hana uwezo wa kupata hata goli moja kwa mechi! inabidi akope dakika kwenye mechi ya pili kuweza kupata goli moja. Wastani wa Messi ni goli 0.89 kwa mechi. Messi ni historia, habari iliyopo sasa kwenye ulimwengu wa soka ni R7!
Ronaldo ana wastani wa kufunga magoli 1.1 kwa kila mechi ya la liga, wakati. Messi ana wastani wa kufunga goli 0.9 kwa kila mechi ya la liga. Kwa kigezo hicho cha kitaalam Ronaldo ana kasi zaidi ya kufunga magoli kuliko Messi na kuliko mchezaji yoyote aliyewahi kuchezea la liga. Ndiyo maana Ronaldo alivunja rekodi ya kufikisha magoli 100 kwenye la liga kwa kucheza mechi chache zaidi.
Huo mguu mmoja ndo uliompa uchezaji bora wa dunia mara4 Na ndio huo unomnyima ronaldo usingiziMagoli siyo kigezo pekee ambacho Ronaldo ana mziki Messi. Ronaldo ni mchezaji aliyekamilika wakati Messi ni mchezaji mwenye mapungufu mengi sana. Wakati miguu yote ya Ronaldo inafanya kazi kupiga mashuti, Messi anatumia mguu wa kushoto kwa zaidi ya ajili miaka 95. Matumizi ya kichwa kwa Messi ni kama Kakakuona kama ilivyotokea juzi, lakini kichwa cha Ronaldo ni habari nyingineeeeee. Uwezo wa kwenda hewani kugombea mpira Messi ni cha mtoto lakini RONALDO ni habari nyingine. Labda uwezo wa kukimbia hapo ndipo wanaweza kula sahani Moja!
Huo mguu mmoja ndo uliompa uchezaji bora wa dunia mara4 Na ndio huo unomnyima ronaldo usingizi
Na hiyo kasi yako unayosema haipo accurate haijaangalia kwamba messi la liga ameanza tangu mtoto hivyo kasi yake kwa kipindi hicho ilikuwa ndogo na inashusha wastani chini wakati ronaldo ameanza la liga wakati ni mfungaji mzoefu.
Hata hivyo nnavyofahamu
Messi amebeba historia ya magoli la liga, na historia ya assists
Na vigezo vingine nimezungumzia hapo juu
1. Vision
Ni mara ngapi messi anaona na anapiga pasi ambazo mtu mwingne hawezi kudhania?
Messi kila msimu anaongoza kwa kutengeneza nafasi nyingi Za kufunga na hata kwenye world cup pia
2. Kuna pasi ambazo messi anapiga kila siku na ronaldo hata afanyeje hawezi kupiga
3. Dribbling
Hapo wamemuacha wengi sana ronaldo.
Messi ni best dribbler in the world.
Wakati ronaldo kwa pale la liga tu ni wa 400 na kitu kwa idadi ya completed dribbles
5. Freekick
Messi ana a higher conversion rate ya freekick kuliko ronaldo
6. Messi msimu huu anaongoza kwa kufunga magoli ya miguu yote wa kulia na wa kushoto la liga
Ronaldo sawa anaweza kupiga vichwa lakini mimi naamini goli la kichwa au la tumbo hamna tofauti yoyote. Goli la kichwa haliandikwi na star juu yake.
Speed ronaldo anamzidi messi
Lakini acceleration na agility messi ni zaidi na ndiyo maaana kwenye dribblin messi anaweza kuchukua kijiji na kukiacha wakati ronaldo anaishia kuanguka na kutafuta faulo
In the end
Ronaldo is a equal level goalscorer but messi is a better footballer
Unaongelea historia! Mchezaji bora wa dunia kwa sasa ni R7 huo ndio ukweli! Kuchezea mguu mmoja ni upungufu mkubwa na huo ndio ukweli! Muda si mrefu Messi tutakuwa tunamtafuta kwenye jumba la makumbusho!
Na magoli ya Ronaldoo tunaanzia wapi.Ronaldo pia alipotoka sporting lisbon kwenda man u alikuwa mdogo. Tunaangalia magoli ya Messi tangu alipoanza kuchezea timu ya wakubwa la Liga!
kama ni upungufu anapata vp uchezaji bora wa dunia mara4?hao wazima mbona wameshindwa kufika alipo yeye akiwamo ronaldo na kama historia zisingekuwepo pele au maradona tusingewazumzia kama ni magwiji katika soka zote historia ila bado zinaiishi na ndo maana kuna kitu kinatwa record
Na magoli ya Ronaldoo tunaanzia wapi.
Lengo hapa ni kupata range ya muda ambao utatenda haki kwa wachezaji wote.
huwezi ukachukua kasi ya ronaldo kuanzia alipokuja la liga akia tayari mchezaji mkongwe ukalinganisha na kasi ya messi tangu alipokuwa mchanga hadi sasa hata siku moja haitakupa picha halisi
Kamfikia andunje kwa hat trick laliga,kapiga goli tatu ndan ya dk 8,kapiga goli tano na ana magol 35 mpaka sasaHahahaha ronaldo atabakia kua juu tuu hata iwe vp
ni 36 mkuuKamfikia andunje kwa hat trick laliga,kapiga goli tatu ndan ya dk 8,kapiga goli tano na ana magol 35 mpaka sasa
Ingekuwa uwanjani kunakuwa na mipira miwili kwa muda mmoja basi tungeona umuhimu wa kutumia miguu yote miwili lakini sasa mpira ni mmoja hivyo hakuna mchezaji atakayeweza kutumia miguu miwili at the same time, kwa hiyo katika muda fulani mguu unaotumika ni mmoja kwa mpira mmoja. Kama Messi ana uhakika na mguu wake mmoja basi halazimiki sana kuhitaji huo mguu mwingine kwa ajili ya kupiga mpira sana sana atauhitaji kwa ajili ya kumpa balance ili aweze kuwapiga chenga vizuri.Magoli siyo kigezo pekee ambacho Ronaldo ana mziki Messi. Ronaldo ni mchezaji aliyekamilika wakati Messi ni mchezaji mwenye mapungufu mengi sana. Wakati miguu yote ya Ronaldo inafanya kazi kupiga mashuti, Messi anatumia mguu wa kushoto kwa zaidi ya ajili miaka 95. Matumizi ya kichwa kwa Messi ni kama Kakakuona kama ilivyotokea juzi, lakini kichwa cha Ronaldo ni habari nyingineeeeee. Uwezo wa kwenda hewani kugombea mpira Messi ni cha mtoto lakini RONALDO ni habari nyingine. Labda uwezo wa kukimbia hapo ndipo wanaweza kula sahani Moja!
ni 36 mkuu