Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,660
- 11,678
Mchezaji Bora wa Dunia Cristiano Ronaldo amezidi kujiwekea record nyingine tena kwa Kufunga Magoli ya vichwa zaidi kuliko mchezaji yeyote katika historia ya ligi ya Spain La Liga kwa kufikisha magoli 46 ya Vichwa huku akimipita mchezaji aliyekuwa nae sawa kwa idadi ya magoli ya vichwa Aritz aduriz mchezaji wa Atletico Bilbao's mwenye Magoli 45 kwa sasa ya vichwa...
Ronaldo sasa ndio anaonesha kuwa mkali haswa kiuwezo kuliko mpinzani wake wa karibu Leo Messi... Ronaldo ameweka record nyingi zaidi katika soccer ya Uhispania dhidi ya Messi, Ronaldo pia amefunga magoli kwa miguu ya kushoto na kulia pamoja na kichwa jamaa ni hatari sana pia record ya kufunga goli kila dakika katika soccer yaani dakika zote kuanzia moja hadi 90 na zile za nyongeza zote katumbukiza magoli kwa mechi tofauti ni yeye pekee Dunia nzima.
(Fake News Masikini Messi alitizama Ronaldo akiweka record akaishia kutoa chozi... haikueleweka chozi lilikuwa la furaha au huzuni! Masikini Messi kafupi.)
46 - Cristiano Ronaldo has scored 46 headed goals in La Liga, more than any other current player in the competition (Aduriz, 45). Anvil.